Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii.
Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii tunaishuhidia kweli na kweli tupu ya ujenzi wa shule za Amali(vocational secondary schools) zaidi ya 103.
Hapa unaongelea wahitimu sio chini ya 40,000 kwa mwaka ambao kazi ya haitakuwa uwanaharakati wa mtandaoni bali watenda kazi za mikono katika muktadha wa sayansi na teknolojia.
Kitokana na uwepo wa ngwini wengi katika Taifa hili tumejikuta tunaacha milestones muhimu kama hizi zikipita bila kusemwa kwa uzito wake.
Lakini wachache wa aina yetu hatutoacha kamwe kusema
Hongera mhe.Rais na Mungu abariki fikra,maono na matokeo ya kazi zako.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kwani yeye sio mtanzania mlipa kodi??Ametumia pesa zake!? Kama ni pesa za Watanzania basi anayepaswq kupewa pongezi ji Mtanzania sio Samia
Dah, haki ya Mungu ogopa sana mtu kupewa roho ya kishetani........utatumia sana kwa msongo wa mawazo kwa maendeleo ya watu.Ametumia pesa zake!? Kama ni pesa za Watanzania basi anayepaswq kupewa pongezi ji Mtanzania sio Samia
Special kumanyokoh weweMmoja wapo ni wewe
well done Dr Samia Suluhu Hassan 🔥 👊Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii.
Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii tunaishuhidia kweli na kweli tupu ya ujenzi wa shule za Amali(vocational secondary schools) zaidi ya 103.
Hapa unaongelea wahitimu sio chini ya 40,000 kwa mwaka ambao kazi ya haitakuwa uwanaharakati wa mtandaoni bali watenda kazi za mikono katika muktadha wa sayansi na teknolojia.
Kitokana na uwepo wa ngwini wengi katika Taifa hili tumejikuta tunaacha milestones muhimu kama hizi zikipita bila kusemwa kwa uzito wake.
Lakini wachache wa aina yetu hatutoacha kamwe kusema
Hongera mhe.Rais na Mungu abariki fikra,maono na matokeo ya kazi zako.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Ona mbwa koko hili , we mbwa a cha kutujazia servers na kuandika uchoko hapa ,pumbavuHii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii.
Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii tunaishuhidia kweli na kweli tupu ya ujenzi wa shule za Amali(vocational secondary schools) zaidi ya 103.
Hapa unaongelea wahitimu sio chini ya 40,000 kwa mwaka ambao kazi ya haitakuwa uwanaharakati wa mtandaoni bali watenda kazi za mikono katika muktadha wa sayansi na teknolojia.
Kitokana na uwepo wa ngwini wengi katika Taifa hili tumejikuta tunaacha milestones muhimu kama hizi zikipita bila kusemwa kwa uzito wake.
Lakini wachache wa aina yetu hatutoacha kamwe kusema
Hongera mhe.Rais na Mungu abariki fikra,maono na matokeo ya kazi zako.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Ww qma chawa wa kilazaKiukweli nyumbu na haters wa Samia wanaumia vibaya mnooo na ndo maana wanakazana kumchulia Kila dakika iyendayo kwa Mungu........Mungu alivyo mkubwa, mama ndiyo kwanza anazidi kuweka alama, yaani anazidi kuwatimulia vumbi.
Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii.
Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii tunaishuhidia kweli na kweli tupu ya ujenzi wa shule za Amali(vocational secondary schools) zaidi ya 103.
Hapa unaongelea wahitimu sio chini ya 40,000 kwa mwaka ambao kazi ya haitakuwa uwanaharakati wa mtandaoni bali watenda kazi za mikono katika muktadha wa sayansi na teknolojia.
Kitokana na uwepo wa ngwini wengi katika Taifa hili tumejikuta tunaacha milestones muhimu kama hizi zikipita bila kusemwa kwa uzito wake.
Lakini wachache wa aina yetu hatutoacha kamwe kusema
Hongera mhe.Rais na Mungu abariki fikra,maono na matokeo ya kazi zako.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Wenzenu wanajenga viwanda vya drons huku mnajenga matundu ya vyoo vya shuleHii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii.
Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii tunaishuhidia kweli na kweli tupu ya ujenzi wa shule za Amali(vocational secondary schools) zaidi ya 103.
Hapa unaongelea wahitimu sio chini ya 40,000 kwa mwaka ambao kazi ya haitakuwa uwanaharakati wa mtandaoni bali watenda kazi za mikono katika muktadha wa sayansi na teknolojia.
Kitokana na uwepo wa ngwini wengi katika Taifa hili tumejikuta tunaacha milestones muhimu kama hizi zikipita bila kusemwa kwa uzito wake.
Lakini wachache wa aina yetu hatutoacha kamwe kusema
Hongera mhe.Rais na Mungu abariki fikra,maono na matokeo ya kazi zako.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Mbona Bado ndg, mpaka 2030 utakasirika zaidi ndg'angu. Hii speed ya mama ni vigumu kuliacha lihater au linyumbu lolote bila athari hasi.Ww qma chawa wa kilaza