Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Akikujibu nitag!Andiko la Museveni linasema mazungumzo yanahusu line ya Umeme toka Mtukula to Mwanza. Mtukula na Mwanza ziko Uganda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu nitag!Andiko la Museveni linasema mazungumzo yanahusu line ya Umeme toka Mtukula to Mwanza. Mtukula na Mwanza ziko Uganda?
Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Makuwadi ya dpworld mwambieni mamayenu kuwa huku kanda ya ziwa hatapata hata robo ya kura.wivu tu na husda zinawasumbua. wanatafuta kila namna kutaka kumchonganisha rais wetu na wanacnhi, hao ni walioshindwa, watabwabwaja watabaki na umaskini wao. Hakuna mwenye roho mbaya akawa na mafanikio hata siku moja.
Wewe nguruwe na kuwadi la dpworld tulia dwa ikuingie kama mamayenu muuza bandar.kuna bandari kwenu? Bandari soko lake liko wapi, we kenge hakuna unalojua zaidi ya kuwa nyumbu tu
kuwa na bishara imekua nongwa! hii tabia ya uchochezi mmeridhi kwa nani?Endeleeni kupanua magoli
Na huko kote mlifanya nini cha maana ??Kwa nini anatrend baada ya mzazi wake kuchukua madaraka?Ni lini wakati wa Magufuli tulimuona anatembea na delegate from Tanzania.Ukiingiza familia yako kutumia mgongo wa Ikulu kufanikisha mambo yako lazima uharibikiwe.Lazima genge la mafisadi litamteka mmoja wa wanafamilia na kukuharibia uongozi. Mifano tunayo ya wanafamilia kuingilia maamuzi ya serikali kuanzia Mama siti,Ridhiwani na sasa Abdul
Bandari ipi imegawiwa?Fupa Lingine hili
Warudishe Bandari waliyoigawa.
Hayo ya watoto zao waachie wenyewe.
Sisi Watanganyika tunahitaji Mtoto wetu Bandari.
Kama umeanza kumfahamu baada ya Mzazi wake kuwa Rais ni wewe na ujinga wako. Wengine tunamfahamu tangu Mama yake akiwa WaziriKwa nini anatrend baada ya mzazi wake kuchukua madaraka?Ni lini wakati wa Magufuli tulimuona anatembea na delegate from Tanzania.Ukiingiza familia yako kutumia mgongo wa Ikulu kufanikisha mambo yako lazima uharibikiwe.Lazima genge la mafisadi litamteka mmoja wa wanafamilia na kukuharibia uongozi. Mifano tunayo ya wanafamilia kuingilia maamuzi ya serikali kuanzia Mama siti,Ridhiwani na sasa Abdul
Ni wivu na ujinga tuBaba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Hata kama Museveni anasema Abdul hakuongoza ujumbe picha zinasema kila kitu! Abdul ndiye aliyekuwa mgeni rasmi wa Museveni, unasemaje hapo?Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
IBARA 4 (2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema endapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa Mali zake? Huu ujinga ubaki CCM.kuna bandari kwenu? Bandari soko lake liko wapi, we kenge hakuna unalojua zaidi ya kuwa nyumbu tu
Nasikia lisu kaka hela za promotion ya kampeni ya kataa kuuzwa bandariBaada ya kuuza bandari zetu zote mmepata hela ya kwenda kuwekeza Uganda?