Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sahivi anachotewa tu hakuna tatizo pesa za wajingaUyo dogo si ndio kwenye account yake imeonekana kuna 700Bilioni za kibongo bado assets anazomiliki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahivi anachotewa tu hakuna tatizo pesa za wajingaUyo dogo si ndio kwenye account yake imeonekana kuna 700Bilioni za kibongo bado assets anazomiliki
Chawa wa Mama kazini. Jitahidi labda utakumbukwa kwa ticket ya first class to Dubai kama Steve Nyerere.Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Wakati unamfahamu mama yake akiwa waziri uliwahi kumuona ikulu ya nchi gani?Una prudence ndogo sana kwa sababu ya imani yakoKama umeanza kumfahamu baada ya Mzazi wake kuwa Rais ni wewe na ujinga wako. Wengine tunamfahamu tangu Mama yake akiwa Waziri
We ni mpuuzi kweli. Hebu fungua kampuni na wewe uone kama utakaribishwa Ikulu kirahisi rahisi hivyo kujadili Biashara directly na Raisi wa nchi jirani. Mwenzio kabla hajaonenda Mama ake kashapiga simu mwanae anakuja.Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Biashara anatakiwa kuwa nayo mtoto wa Mbowe tuu 🤣🤣🤣🤣Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Unachofanya hapa ni uchawa, uliisoma vizuri tweet ya 'presidaa ' wa Ug?Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Kingereza kibaya eti Fataher-in-law[emoji28][emoji23]....Sijui ni kiarab cha wapi hicho umeandika...Kwanza unadhalilisha kabila husika kwa kutumia username kama hiyo....hiyo username na ukoo haviendani na ulichoandika....badili kwanza ID pumbafuBaba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Cha ajabu ni kuongoza msafara wa kisekta wenye hadhi ya diplomasia kati ya nchi na nchi.Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Afanikiwe kupitia hazina ya nchi?Mtoto wake unataka awe kama watoto wa akina Nyerere, Sinde na Malchera?
Ukifanikiwa fanya juu chini mwanao afanikiwe
Akiwa kiongozi wa nchi mafanikio yake lzm yatoke nchini - akiwa mkulima mafanikio yake yatatokana na Kilimo - nawe fanikiwa tuAfanikiwe kupitia hazina ya nchi?
Kuna habari zinajaribu kuzimwa kuwa huyu Abdul ameshirikiana na waziri wa mambo ya ndani kafanya ufisadi wa zaidi ya sh bilioni 11 kupitia tenda ya sare za jeshi la polisiAfanikiwe kupitia hazina ya nchi?
Kwanini anatumia fursa ya nafasi ya mama yake na Ikulu kufanya biashara zake binafsi wakati ni kinuyme na sheria.Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Matumizi mabaya ya nafasi ya mama yake n Ikulu ya wananchi kufanikisha biashara binafsi. HaikubalikiBaba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Andiko lako kwa ufupi ni kuwa Abdul ana haki za kufanya biashara na kuwekeza kama raia mwingine. Naona hujakosea.Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Shida sio biashara ,shida ni pesa hutumika anzisha biashara husikaBaba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.