Kipi cha ajabu kwa mtoto wa Rais Samia kuwa na biashara binafsi?

hakuna cha ajabu hata kdg na hakuna kikwazo.
Bali tatizo ni pale wanapoliingiza Taifa ktk mikataba ya kifisadi, kitapeli na ya kuangamiza Taifa!
 
Mawaziri wanalalamika kuingiliwa na huyu mtoto Abdul.

Anazidi kumuharibia huyu Mama.
 
Nchi hii ukipata upenyo we tandika tu

Kila mtu ale hapo alipokuwa

Ova
 
Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.

Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).

Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.

Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.

Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?

Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.

So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
🚮🚮🚮🚮🚮
Duuh 🙄
Sijui ccm inapataga wapi hawa wajinga!
 
Fupa Lingine hili

Warudishe Bandari waliyoigawa.
Hayo ya watoto zao waachie wenyewe.
Sisi Watanganyika tunahitaji Mtoto wetu Bandari.
Looh, jibu makini kweli hili.

Sasa huyu sijui Anna Nkya analeta mambo ya kina Ndesamburo au Mbowe ili iweje?

She's really very stupid..!!!

Hoja kwa sasa ni mkataba wa bandari. Bandari ndiye mtoto wetu na tunahitaji arudi haraka bila mjadala..

Wao na watoto wakae huko..
 
Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.

Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).

Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.

Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.

Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?

Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.

So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Kosa halizawadiwi kwasababu wengi wanafanya, a wrong is a wrong regardless ya watu wangapi wanaliabudu kama ukweli.
 
Kuna habari zinajaribu kuzimwa kuwa huyu Abdul ameshirikiana na waziri wa mambo ya ndani kafanya ufisadi wa zaidi ya sh bilioni 11 kupitia tenda ya sare za jeshi la polisi
Like son like.......
Anyways urefu wa kamba ya mbuzi unadetermine anakula wapi na anakula nini. Sasa kuna mbuzi kamba zao hazijafungwa zipo loose
 
Looh, jibu makini kweli hili.

Sasa huyu sijui Anna Nkya analeta mambo ya kina Ndesamburo au Mbowe ili iweje?

She's really very stupid..!!!

Hoja kwa sasa ni mkataba wa bandari. Bandari ndiye mtoto wetu na tunahitaji arudi haraka bila mjadala..

Wao na watoto wakae huko..
Nakuona umebeba debe la.petroli mbio mbio kuzima moto
 
Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.

Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).

Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.

Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.

Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?

Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.

So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Refer code of ethics 🤐
 
Back
Top Bottom