Kipi cha ajabu kwa mtoto wa Rais Samia kuwa na biashara binafsi?


Hakuna cha Ajabu, ila Hiyo delegation from the Gov of Tz ndio Maajabu yenyewe
 
wivu tu na husda zinawasumbua. wanatafuta kila namna kutaka kumchonganisha rais wetu na wanacnhi, hao ni walioshindwa, watabwabwaja watabaki na umaskini wao. Hakuna mwenye roho mbaya akawa na mafanikio hata siku moja.
Makuwadi ya dpworld mwambieni mamayenu kuwa huku kanda ya ziwa hatapata hata robo ya kura.
 
Na huko kote mlifanya nini cha maana ??
 
Kama umeanza kumfahamu baada ya Mzazi wake kuwa Rais ni wewe na ujinga wako. Wengine tunamfahamu tangu Mama yake akiwa Waziri
 
Ni wivu na ujinga tu
 
Hata kama Museveni anasema Abdul hakuongoza ujumbe picha zinasema kila kitu! Abdul ndiye aliyekuwa mgeni rasmi wa Museveni, unasemaje hapo?
 
kuna bandari kwenu? Bandari soko lake liko wapi, we kenge hakuna unalojua zaidi ya kuwa nyumbu tu
IBARA 4 (2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema endapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa Mali zake? Huu ujinga ubaki CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…