Kipi cha ajabu kwa mtoto wa Rais Samia kuwa na biashara binafsi?

Chawa wa Mama kazini. Jitahidi labda utakumbukwa kwa ticket ya first class to Dubai kama Steve Nyerere.
 
Kama umeanza kumfahamu baada ya Mzazi wake kuwa Rais ni wewe na ujinga wako. Wengine tunamfahamu tangu Mama yake akiwa Waziri
Wakati unamfahamu mama yake akiwa waziri uliwahi kumuona ikulu ya nchi gani?Una prudence ndogo sana kwa sababu ya imani yako
 
We ni mpuuzi kweli. Hebu fungua kampuni na wewe uone kama utakaribishwa Ikulu kirahisi rahisi hivyo kujadili Biashara directly na Raisi wa nchi jirani. Mwenzio kabla hajaonenda Mama ake kashapiga simu mwanae anakuja.
 
Biashara anatakiwa kuwa nayo mtoto wa Mbowe tuu 🤣🤣🤣🤣
 
Pumbafu toka lini zero brain akawa na akili ya kufanya biashara? Huyo maza apoteze umalkia uone kama ataweza. Anatumia hela za wizi kufanya
 
Unachofanya hapa ni uchawa, uliisoma vizuri tweet ya 'presidaa ' wa Ug?
 
Kingereza kibaya eti Fataher-in-law[emoji28][emoji23]....Sijui ni kiarab cha wapi hicho umeandika...Kwanza unadhalilisha kabila husika kwa kutumia username kama hiyo....hiyo username na ukoo haviendani na ulichoandika....badili kwanza ID pumbafu
 
Mtei, Ndesamburo na Aikael Mbowe wore hao uliowataja walikuwa wafanyabiashara wa muda mrefu wakati hata Chadema haijulikani Kama itaanzishwa na hata wangeanza biashara baada ya Chadema kuanzisha bado sio kosa.
Museveni alisema akikutana na ujumbe toka Tanzania na sio wafanyabiashara toka Tanzania.
Lazima tukubali Kuna mgongano wa maslahi hivi umeme unavyokatika hivyohivyo Ina maana rais hajui kunahitajika suluhisho, ndio maana watu walihoji mtoto wake ana cheo gani wizara ya nishati.
 
Mtoto wake unataka awe kama watoto wa akina Nyerere, Sinde na Malchera?

Ukifanikiwa fanya juu chini mwanao afanikiwe
 
Ongea ya watoto wa Mwalimu Nyerere, na marais wengine.

Huyo Mbowe baba yake alikuwa na baa hapo mjini, alitafuta pesa mwenyewe.
 
Cha ajabu ni kuongoza msafara wa kisekta wenye hadhi ya diplomasia kati ya nchi na nchi.

Usiwe mpumbavu zaidi ya ulicholiandika hapo
 
Kwanini anatumia fursa ya nafasi ya mama yake na Ikulu kufanya biashara zake binafsi wakati ni kinuyme na sheria.
Matumizi mabya ya madaraka kwa mambo binafsi haikubaliki
 
Matumizi mabaya ya nafasi ya mama yake n Ikulu ya wananchi kufanikisha biashara binafsi. Haikubaliki
 
Andiko lako kwa ufupi ni kuwa Abdul ana haki za kufanya biashara na kuwekeza kama raia mwingine. Naona hujakosea.
Kuwekeza nchi za nje sI kukosa uzalendo ni tendo la kimaendeleo - kama unaelewa faida ya uwekezaji kimataifa. Mfano China, Amerika, na Japan kila moja inapokea na kupeleka uwekezaji kwa mwenzie.
Raisi Museveni kafanya vizuri kuweka hadharani jambo hili. Wako wa Tz wengine wamewekeza nje ya nchi anayejua labda ni BOT pekee.
 
Shida sio biashara ,shida ni pesa hutumika anzisha biashara husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…