pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
ule msafara wa Serikali aliingiaje ingiaje?Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati.
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎBaba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Looh, jibu makini kweli hili.Fupa Lingine hili
Warudishe Bandari waliyoigawa.
Hayo ya watoto zao waachie wenyewe.
Sisi Watanganyika tunahitaji Mtoto wetu Bandari.
Kosa halizawadiwi kwasababu wengi wanafanya, a wrong is a wrong regardless ya watu wangapi wanaliabudu kama ukweli.Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was super rich (a.k.a NDESAPESA), alikuwa Mbunge wa Moshi Mjini na na a very powerful leader ndani ya CHADEMA. Yule Mzee watoto wake walipewa Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA, ndo hao kina LUCY OWENYA na GRACE KIHWELU (hawatumii jina la Baba Yao).
Nimeandika hao kutake reference kuwa mtu kuwa mtoto wa kiongozi haikuzuii wewe kuwa kiongozi, zaidi sana haikuzuii wewe kuwa na biashara binafsi.
Tuje kwenye suala la ABDUL, mtoto wa Rais Samia Suluhu ambaye ametrend jana baada ya kupostiwa na Museveni.
Abdul ni mfanyabiashara, kampuni yake imejikita kwenye masuala ya Nishati. He went to Uganda as a private citizen. He went to Uganda kufanya kazi na Serikali YA UGANDA. Abdul amepata tenda kule kwa sheria za huko Uganda na kazi aliyopewa inahusu miradi ya Uganda. ULE SIO USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA; ajabu nini hapo?
Wanasiasa wana tabia ya kulazimisha interpretation zao zikubalike na jamii bila kuangalia ukweli. Tweet ya Museveni hakuna mahali inaposema Abdul aliongoza ujumbe wa Tanzania, imesema tu kwamba Abdul kutoka Tanzania amekwenda na ujumbe wake.
Sasa Abdul kapataje tenda Uganda, ni swali wanalopaswa kuuliza Waganda. Labda Mama yake kamuomba Museveni ampe deal mtoto wake; sio ajabu, sio kinyume cha sheria.
So you guys tell us, ukiwa mtoto wa kiongozi unapaswa kurest at tome halafu parents wataprovide? Stop that nonsense.
Like son like.......Kuna habari zinajaribu kuzimwa kuwa huyu Abdul ameshirikiana na waziri wa mambo ya ndani kafanya ufisadi wa zaidi ya sh bilioni 11 kupitia tenda ya sare za jeshi la polisi
Nakuona umebeba debe la.petroli mbio mbio kuzima motoLooh, jibu makini kweli hili.
Sasa huyu sijui Anna Nkya analeta mambo ya kina Ndesamburo au Mbowe ili iweje?
She's really very stupid..!!!
Hoja kwa sasa ni mkataba wa bandari. Bandari ndiye mtoto wetu na tunahitaji arudi haraka bila mjadala..
Wao na watoto wakae huko..
Refer code of ethics ๐คBaba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.