Kipi unafanya ili kujituliza wakati unapitia magumu?

Mimi na FaizaFoxy tunasikiliza kaswida na kwaya zamzam
Kama mnadhani nadanganya muulizeni
 
Kama maeneo yanaruhusu, tumia muda wako kufanya mazoezi asubui, kimbia au tembea, hii inakupa muda mzuri sana wa kuwaza na kuchambua mambo, dont stay idle. Kama uliweza kupata mwanzo basi utapata tu tena, kupoteza ndio changamoto za kukomaza ili usirudie makosa
Chanzo ni maisha tu mkuu, siwezi kueleza hapa lakini kuna kitu nime loose na sijui nitapata vipi tena.

Ombi langu ni msaada wa kimawazo kwa namna gani naweza fanya kuondokana na depression na majuto makali niliyonayo moyoni mwang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…