Kipi unafanya ili kujituliza wakati unapitia magumu?

Pole sana yatapita hayo mkuu
Baadhi yetu tunaotoa ushauri hapa tushafikwa na makubwa kuliko hayo. Na bado tunaendelea kukung'utwa na mitihani. Wengine imani za dini tu ndio zinatusaidia. Tunaamini kwenye kuishi lazima uwe tested, hapo sasa ni wewe namna ya kuishinda mitihani.
 
Huwa naimba nyimbo za Misiba, najikuta napata nguvu mpya, kuna Ile wimbo "Liko pumziko la Mioyo, amkaaaaa wee unayelala, unaugua kama ......"

Au ule mwingine "Mbinguni, Mbinguni, kuna mji mwema......" Au " ule mwingine wa NCHI NZURI YA METAMETA
 
Prayers, nenda kwenye ibada, sifu ,shukuru stay active kuna mabadiliko utayaona
 
Huwa naimba nyimbo za Misiba, najikuta napata nguvu mpya, kuna Ile wimbo "Liko pumziko la Mioyo, amkaaaaa wee unayelala, unaugua kama ......"

Au ule mwingine "Mbinguni, Mbinguni, kuna mji mwema......" Au " ule mwingine wa NCHI NZURI YA METAMETA
Mkuu nyimbo za maombolezo kiukweli mimi sizijui, lakini najitahidi kusali japo bado akili haijakaa sawa.
 
Hapo unateswa na vitu viwili at the same time, 1. Mambo hayaendi pesa hakuna. 2. Mahusiano yako hayaeleweki yan mamsap kakukataa baada ya kuona apeche alolo, aisee unaweza kuchizi usipokua makini.
 
Kweli maisha ni mtihani lakini kuna mambo mengine hutokea mpaka unajiuliza au labda kuna sehemu ulikosea au ni majanga tu yanaamua kukushukia wewe
 
Hapo unateswa na vitu viwili at the same time, 1. Mambo hayaendi pesa hakuna. 2. Mahusiano yako hayaeleweki yan mamsap kakukataa baada ya kuona apeche alolo, aisee unaweza kuchizi usipokua makini.
Afadhali mambo yangekuwa hayaendi, ila yanaenda hatua moja mbele na kurudi 100 nyuma.

Kuhusu mahusiano, sina mtu ambaye ana nafasi ya kusumbua akili yangu.
 
Pray, listen gospel songs
 
Kweli maombi husaidia, lakini Mkuu unadhani ni rahisi kuhimili maumivu ya kupoteza almost 80% of what you own kwa siku moja?
Man let me tell you? Kiwango cha maumivu kitategemea na kiwango cha attachment kilichopo na kitu mtu ana value.
I cant judge you bro, but i can tell you some of and maybe ww si wa kwanza, wamepitia huko. ku stay kwenye hiyo hali kwa muda mrefu kutakupelekea udumbukie gizan kabisa.

It will suck for a while, lakin toka ndani, so something. Force yourself, itachukua muda but maumiv yataanza kupungua
 
min -me konyagi Tena 😹😹

Ila tupo wengi mwnyw sijui nifanye nn mpaka naona dunia chungu guys depression is real πŸ˜’πŸ’”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…