Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Shoga2w Shoga mpya mjini
 
Tatizo la Mdee anaichukulia siasa kwa mtazamo wa chuki, na hii inamfanya mara zote aumie,

pole yake, ila siasa za bongo si za kwenda na hasira, utaumia peke yako and no one cares.
What if alitaka aumizwe kusudi ajenge hoja??
 
Hata hivyo naona wamemsaidia! Yy huwa haonagi kwenye maonyesho ya uhuru???
Ha ha ha.
Vingi huigwa ila magereza haiigwi. Hapo ni nguvu kidogo.
 
Nikajua kavinjika shingo kumbe mkono tu? Tatizo wanaolalamika hawataki kusema ukweli kwamba hawa wapuuzi kina Mdee na huyo mkewe Bulaya kuna walichofanya kikasababisha wapigwe, askar sio wapuuzi kias hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matako ya babaako we

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu tu kufikiri kwa sauti (just thinking aloud):
Kwa nini awe tu Halima Mdee? Yaani bungeni taabu; spika kamuonya mara nyingi na kumfungia kuhudhuria vikao kadhaa.

Huku urariani nako taabu. Kalazwa rumande mara kadhaa. Kwenye maeneo ya magereza nako taabu! Wao wamemvunja mkono. Itakuwaje kama atabahatika kwenda kuchezea maeneo ya majeshi mengine?
 
TOHATO,
Nimekusoma mkuu, lakini nikashindwa kujua upo wapi.

Unauliza Mdee amefaidika na kitu gani hadi akaumizwa; halafu wakati huo huo unageukia upande wa pili uliomuumiza walichofaidika nacho?
Hivi huoni kulinganisha hizi pande mbili na kuziweka sawa kunaondoa kabisa mantiki ya yote uliyoandika hapo juu, au wewe huoni?

Halafu umetoa mfano mbovu kabisa, na nashangaa watu wanakupa 'like' juu yake!

Ni sawa kwako kutokubali adhabu ya kipuuzi aliyowaelekeza mwajiri wenu, alikuwa ni mpuuzi kama viongozi wa hilo kundi la pili (polisi), kama bosi wako alivyokuwa mbovu.

Kwako wewe kuondoka na kurudi nyumbani, huwezi kulinganisha na hao polisi waliofunzwa kutii amri bila hata kutumia akili zao kichwani - ni tofauti kabisa. Huwezi ukajilinganisha nao kwa mazingira ya aina yoyote.

La mhimu, Mdee ameumizwa kwa upuuzi wa viongozi serikalini. Hao ndio wa kulaumiwa. Huna sababu ya kumlaumu Mdee kama unaelewa kukataa kunyimwa haki maana yake ni nini.
 
Usishangae, Chadema walivyo allergic na Polisi, hata wakipigwa virungu na mgambo wa jiji watawasingizia Polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…