Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Tanzania hatuna wapinzani ila ni vikundi vya wahuni wahuni wenye maslahi binafsi.
 
Chadema mnapotaka kutupeleka siko, utafanyaje mkusanyiko ndani ya eneo la gereza? Mkusanyiko wenu wa kumpokea mwenyekiti wenu ulitakiwa ufanyike nje kabisa ya eneo la gereza. Ndani ya eneo la gereza kuna sheria zake unazotakiwa kuzifuata. Hata Marekani kuna maeneo kwa mfano area 51 mtu yeyote asiyehusika haruhusiwi kupita au kuingia ndani ya eneo na ukiingia unapingwa risasi.
 
hawa wajelajela wamechemka kumpiga mdada tena mrembo kama Mdee..

kwa kawaida mwanamke anapigwa kwa kanga au mjohoro wa katikati

..imagine kama wamemvunja mkono,hivi hiyombunye INA hali gani.?

*Ila 'no sweat' maana juzi baada ya kuachiliwa kwa faini alisema yy ni Kamanda...na huo ndio ukamanda;akomae





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuaji mwingi. Ile kazi ilikua ya mwanasheria kuhakikisha mteja katoka. sasa sijui ni kimbelembele gani kujipeleka kule halafu ukikatazwa kuingia unalazimisha??
 
Ndo maana mafunzo na mazoezi yao yanahusisha nguvu... Yaani kicheche mmoja kashiba KANDE anakwenda kutikisa Geti LA Gereza..!!? Wallah alistahili kuzimishwa kabisa. Shwain
Hili jina limekosewa. Ni Mikojo!
 
na yeye mdee kwani alipoambiwa acha hakuacha? bangi zilikutana. unajua kabisa wananguvu zaidi yako, bado unataka kushindana nao. wewe ni mpumbavu. kwanini usitumie mbinu mbadala kupata mnachotaka?
hivyo vihela vya wahuni wenzenu kwa kisingizio cha denokrasia ndo vinawatesa. wapumbavu mnapambanishwa na dola halafu mnatarajia ushindi.
vipi venezuela walishinda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kanga acha usenge wewe kumpiga mwanamke ndiyo sifa? Siku ya nyie kukutana na wanaume wa kuwatia mimba imekaribia na hata ukivaa bullets proof mimba itangangania tu. Wait.
 
Ubaya wa kuajiri watu kwenye jeshi la polisi kwa sifa ya urefu badala ya elimu.
Kuna haja ya nchi yetu kuwa na police service na kuondoa kabisa hii police force

Sent using Jamii Forums mobile app

Itapoundwa serikali ya wananchi, ikiwamo kuwachukulia hatua wote waliokiuka misingi ya utu bila kujali lini, agenda ya nani anafuzu kuwa polisi yapaswa kuwa moja ya vipaumbele.

Jinai haina ukomo wala wewe ulikuwa nani; wakae hilo wakilijua.
 
#Updates #Kutoka_Hospital

Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.

Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana[emoji24][emoji24]

Mchuma janga hula na wakwao
 
#Updates #Kutoka_Hospital

Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.

Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana[emoji24][emoji24]
Naomba Mungu atusaidie hali kama hii isiendelee na hekima itawale maana watu wakitengenezewa usugu hakika amani yaweza toweka nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitoka hapo arudishwe jela, maeneo ya kijeshi si ya kuleta siasa. Wakome kabisa kujifanya wanaharakati maeneo ya jeshi, pongezi kubwa sana kwa jeshi la magereza.
Hivi babu yako yupo mpaka leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…