Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten

Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten

Channel 10 kituo cha Tv mali ya CCM cha scratch my back I'll scratch yours, haramu kimepewa tenda haramu kwa mafunzo haramu.
Mkuu Hismastersvoice, kwanza asante kuchangia uzi wangu
It's true, Channel Ten ni kituo cha TV, mali ya CCM, hivyo CCM ni chama kinachowajali Watanzania, hiki kipindi ni kipindi cha kuwasaidia Watanzania, kwa kuwaelimisha elimu ya katiba, sheria na haki hivyo kulisaidia taifa.
P
 
Wewe umeishajitambulisha kama chawa hivyo wenye uelewa hatuwezi kuangalia ulaghai wako kupitia channel ya CCM
Mkuu Gulwa ,kwanza asante kuchangia uzi wangu, japo ni kweli mimi ni kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM, lakini sio kila kada wa CCM ni chawa!. Mimi si mmoja wa wale makada chawa!. Hebu zisikilize kwa makini hoja zangu kugombea kupitia CCM
View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared na baada ya kumsikia mtu kama huyu, unaweza kweli kumuita ni chawa?.

P
 
Mkuu wewe unajulikana ni mwana CCM damu, ndio maana umeandika "CCM ya Chadema!"
Mkuu Mizania , kwanza asante kuchangia uzi wangu, that was a typo
Kutokana na hilo ushauri wako kwa Chadema hauwezi kuchukuliwa kuwa wenye nia njema au usio egemea upande! Kimsingi unaweza kuizungumzia CCM vizuri zaidi kuliko mpinzani wako.
Nia ya mtu hukaa ndani yake, hivyo kama mtu anawaza, anasema na anatenda, then hiyo nia njema, itaonekana katika matendo. Japo mimi ni CCM, chama kinachohitaji zaidi msaada wangu kwa sasa ni Chadema kuliko CCM!. Hivyo mimi pamoja na u CCM wangu, nimekuwa nikiisaidia sana Chadema kwa ushauri, na amini usisiami kama Chadema wangekuwa na macho wakaona, na masikio wakasikia ushauri kama huu Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... saa hizi Chadema ingekuwa ikulu zamani!. Tatizo ni watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. Kipindi hiki kitawafungua macho kuwaondolea upofu na kuwazibua masikio kuwaondolea uziwi!.
Mkuu wewe mwenyewe kwenye andiko lako hili unakiri kuwa kuna shida kwenye maamuzi ya mahakama zetu kama alivyowahi kusema kada mkongwe mwenzio ndugu Rostam Aziz!
it's true tuna shida sio kwenye Mahakama tuu, tuna shida kwenye Serikali na kwenye Bunge, kote huko Kipindi kitasaidia.
Mkuu kuwa makini usiharibu mapishi ya Makala yako hayo ya kwenye TV. Maana Dibaji yako hii inafikirisha........
Asante sana kwa ushauri, nitajitahidi sana kuwa makini.

P
 
Hivi Tanzania Kuna mahakama na majaji wenye akili timamu kweli ? Hawa majaji wa kupokea maelezo toka serikalini kama alivyo sema Rostam Aziz,ndo wa kuwa na imani nao kweli ?

Nachelea kusema tuna idadi kubwa ya wasomi wapumbavu.
Mkuu Kinkunti El Perdedo , kwanza asante kuchangia uzi wangu, yes tunao Majaji wengi tuu au wote wana akili timamu ila kwa baadhi yao, wana changamoto ya utoaji haki ndio maana niliwahi kulizungumza Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Naheshimu mawazo yako kwenye hilo la wapumbavu ila sikubaliani na wewe.
P
 
Hongera mkuu, kwa nafasi yako najua tutapata uhondo wa mahojiano na watu muhimu nchini.
Mkuu Mzalendo Uchwara , asante, ni kweli kwenye line up yangu, nitawatafuta waalimu wangu wawili wa sheria nilipokuwa Udsm, hawa ni Dr. Tulia Akson na Prof. Ibrahim Juma. Halafu kuna mama mmoja macho mazuri fulani, pia nitamtafuta!. The program will be good!.
P
 
Hongera mkuu, kwa nafasi yako najua tutapata uhondo wa mahojiano na watu muhimu nchini.

Pamoja na hilo ni muhimu CDM wajifunze kufuata taratibu zao wenyewe, kama hizo tu zinawashinda je wataweza kufuata na kutii katiba ya nchi ikiwa wataingia madarakani??
Mkuu katiba ni kijitabu tu, hivyo hakuna umuhimu wa kuitii.
 
Mkuu Mzalendo Uchwara , asante, ni kweli kwenye line up yangu, nitawatafuta waalimu wangu wawili wa sheria nilipokuwa Udsm, hawa ni Dr. Tulia Akson na Prof. Ibrahim Juma. Halafu kuna mama mmoja macho mazuri fulani, pia nitamtafuta!. The program will be good!.
P
Sitegemei uwe na vipindi Bora, tumefikia mahali kama nchi kushindwa kuongea ukweli, bali upambe, kujipendekeza na sifa za uongo. Kwa bahati mbaya sana na ww umeangukia kwenye mkondo huo. You are no longer as neutral as you have been before. Am expecting nothing serious from you, and your programs at all.
 
Ukitaka kujua katiba letu ni bovu kuliko zote duniani, je uliwahi kuona wapi spika anajiuzuru Kwa sababu kamkosoa Raisi wa nchi, mahakama zinaamua Kwa maelekeko ya wanasiasa, ni katiba ya madikteta wa miaka 50 iliyopita au makomunisti, Kwa maendeleo ya kweli na haki Kwa Kila mtu katiba mpya ni lazima, huyo elimu ni kupotezeana muda tuu, kiwe kipindi Cha kujadili katiba mpya Nini kiwekwe au kuondolewa
 
Sitegemei uwe na vipindi Bora,
Kuendesha kipindi bora cha talk shows kama Oprah, Larry King, Tim Sebastian, or hata Jeff Koinage, ni vitu viwili 1. Talent 2. Resources. Tanzania tunazo hizi talents za kutosha tuu, tatizo ni resources, hivyo naungana na wewe, usitegemee kipindi bora!.
tumefikia mahali kama nchi kushindwa kuongea ukweli, bali upambe, kujipendekeza na sifa za uongo.
Japo hili ni kweli ila sio wote, baadhi ya wakweli tupo and its time that will prove this!.
Kwa bahati mbaya sana na ww umeangukia kwenye mkondo huo. You are no longer as neutral as you have been before.
Mimi japo kwa sasa pia ni kada, ila ukada wangu ni wa kutanguliza mbele maslahi ya taifa. Mfano mzuri ni zisikilize hoja zangu hapa
View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared kama mpaka hapa bado huioni neutrality yangu, then naomba tuu niheshimu mawazo yako.
Am expecting nothing serious from you, and your programs at all.
This TV program sio program ya anything serious, ni program ya uhabarishaji na uelimishaji umma kuhusu katiba, sheria, na haki, walengwa sio watu wa calibre yako ambao mnaijua katiba, sheria na haki zenu, walengwa ni watu wa chini kabisa ambao hawaijui katiba, hawazijui sheria na hawajui haki zao, hawa ndio kipindi kitawasaidia
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=Ir97ZpO8_yWjW7Ia So my broda just relax don't expect anything serious from me and my programs at all, kwasababu the program is not for all!, wako watu ambao kipindi hiki kitawafikia na kitawasaidia!.

P
 
Hivi Paschal toka umekuwa Wakili umeshinda kesi ngapi na zilikuwa zinahusu nini?

Eti huyu naye ni wakili
Mkuu Bejamini Netanyahu , mtu kuwa wakili ni ile tuu kusomea sheria, kuhitimu LL.B, enzi zetu ni ku petition na kuwa wakili, sasa ni kwenda LS na kupasi unakuwa wakili, hivyo mimi ni wakili!.

Kuwa wakili sio lazima kwenda mahakamani, wako mawakili wa mahakamani kuendesha kesi, hawa wanaitwa mawakili wa litigations na tupo mawakili wa legal opinions, mimi sijawahi kwenda mahakamani kuendesha kesi yoyote, sio wakili wa litigations, ni wakili wa legal opinions na sasa ndio nakwenda ku revolutionise fani ya uwakili kwa kuwa wakili mtangazaji, kuwasaidia watu kupata haki zao kupitia kipindi cha TV.

Kiukweli watu wana shida sana kupata huduma za kisheria, mimi natoa huduma hizi bure online na kupitia TV, nitasaidia watu wengi zaidi kuliko hata kama ningekuwa ni wakili wa litigations.

P
 
Sio mwanasheria,
Mkuu Tindo , lazima mnipe heshima yangu, mtu yoyote aliyesomea sheria level ya LL.B na kupewa uwakili ni mwanasheria!. Hivyo mimi ni wakili!
bali amekuwa mchambuzi wa mchongo wa Sheria.
Hapa naomba kuyaheshimu mawazo yako.
Ana nadharia za Sheria, lakini hajawahi kwenda mahakamani kupractice Sheria,
Ni kweli
na yeye anapiga siasa kama sisi
Ni kweli ila siasa zangu, sio siasa za kupiga blah blah ni siasa saidizi zenye kuleta matokeo chanya!.
tusio na ufahamu wa Sheria.
Hiki ndicho kipindi hiki kinakwenda kufanya, kuwafundisha katiba, sheria na haki Watanzania wote, na wale masikini wa kutupwa ambao wamekosa haki kutokana na umasikini wao, tutawashika mkono na kuwasaidia kupata haki zao.
P
 
Mkuu Mizania , kwanza asante kuchangia uzi wangu, that was a typo

Nia ya mtu hukaa ndani yake, hivyo kama mtu anawaza, anasema na anatenda, then hiyo nia njema, itaonekana katika matendo. Japo mimi ni CCM, chama kinachohitaji zaidi msaada wangu kwa sasa ni Chadema kuliko CCM!. Hivyo mimi pamoja na u CCM wangu, nimekuwa nikiisaidia sana Chadema kwa ushauri, na amini usisiami kama Chadema wangekuwa na macho wakaona, na masikio wakasikia ushauri kama huu Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... saa hizi Chadema ingekuwa ikulu zamani!. Tatizo ni watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. Kipindi hiki kitawafungua macho kuwaondolea upofu na kuwazibua masikio kuwaondolea uziwi!.

it's true tuna shida sio kwenye Mahakama tuu, tuna shida kwenye Serikali na kwenye Bunge, kote huko Kipindi kitasaidia.

Asante sana kwa ushauri, nitajitahidi sana kuwa makini.

P
🙏
 
Ulianza vizuri kumbe lengo lako ilikuwa ni kukamilisha project ya Halima Mdee,
Mkuu Bejamini Netanyahu, sina project yoyote na Halima Mdee, ila namkubali sana Halima Mdee, Esta Bulaya, Esta Matiko na Upendo Peneza. Ninacho taka ni watendewe haki, hata kama ni kufukuzwa, wafukuzwe kwa haki na sio huku kufukuzana kikangaroo!.
nimekuona mtu wa hovyo sn
Kiukweli mimi sio mtu wa maana hata kidogo, mimi ni mtu wa hovyo sana na kama mwandishi wa habari, maswali yangu huwa ni maswali ya hovyo, hadi anayeulizwa badala ya kujibu alichoulizwa, anatoa tafsiri ya jina la mtu!. Baadhi ya hoja zangu za hovyo, zinapelekea mimi kuitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge.
sijui hata sheria ulisoma chuo gani?
LL.B yangu nimeisomea UDSM, miaka ile!, tena ni LL.B hons!.
P
 
Kuendesha kipindi bora cha talk shows kama Oprah, Larry King, Tim Sebastian, or hata Jeff Koinage, ni vitu viwili 1. Talent 2. Resources. Tanzania tunazo hizi talents za kutosha tuu, tatizo ni resources, hivyo naungana na wewe, usitegemee kipindi bora!.

Japo hili ni kweli ila sio wote, baadhi ya wakweli tupo and its time that will prove this!.

Mimi japo kwa sasa pia ni kada, ila ukada wangu ni wa kutanguliza mbele maslahi ya taifa. Mfano mzuri ni zisikilize hoja zangu hapa
View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared kama mpaka hapa bado huioni neutrality yangu, then naomba tuu niheshimu mawazo yako.

This TV program sio program ya anything serious, ni program ya uhabarishaji na uelimishaji umma kuhusu katiba, sheria, na haki, walengwa sio watu wa calibre yako ambao mnaijua katiba, sheria na haki zenu, walengwa ni watu wa chini kabisa ambao hawaijui katiba, hawazijui sheria na hawajui haki zao, hawa ndio kipindi kitawasaidia
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=Ir97ZpO8_yWjW7Ia So my broda just relax don't expect anything serious from me and my programs at all, kwasababu the program is not for all!, wako watu ambao kipindi hiki kitawafikia na kitawasaidia!.

P

Utafikisha hiyo elimu katika mazingira ya upotoshaji, ama kwa utashi wa watawala. Umeshajisalimisha kwao, sioni ukiwa huru kwenye hili tena. Sioni ni kwa namna gani unaweza kurejea kwenye ubora wako kutokana na umri ulio nao, na ni kipi watawala watataka uwasilishe kwenye jamii. Inshort ni chawa unayeuma na kupuliza.
 
Mkuu Tindo , lazima mnipe heshima yangu, mtu yoyote aliyesomea sheria level ya LL.B na kupewa uwakili ni mwanasheria!. Hivyo mimi ni wakili!

Hapa naomba kuyaheshimu mawazo yako.

Ni kweli

Ni kweli ila siasa zangu, sio siasa za kupiga blah blah ni siasa saidizi zenye kuleta matokeo chanya!.

Hiki ndicho kipindi hiki kinakwenda kufanya, kuwafundisha katiba, sheria na haki Watanzania wote, na wale masikini wa kutupwa ambao wamekosa haki kutokana na umasikini wao, tutawashika mkono na kuwasaidia kupata haki zao.
P
Sitegemei chochote Cha maana kutoka kwako kwa sasa zaidi ya upotoshaji na uzandiki. Ungekuwa kijana Bado najua ungeweza kufanya kinachotakiwa na sio ulichoagizwa. Umeshasurrender huna unachoweza kufanya kwa jinsi kinavyotakiwa, zaidi ya kupaka rangi upepo.
 
Back
Top Bottom