Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

Kwa mtu aliepiganiwa na wazazi wake kama unavyojinasibu basi huwezi kuwa na akili matope kama hizi ila kwakua hayo ni maisha unayaona kwa jirani endelea ku copy uje upaste humu
 
Hii kitu ndio maana inaishia mali kupotea bila taarifa.
wewe unayesema mali za wazazi wako sio zako acha kujidanganya .
Kuna mzee kafariki bila kuwaonesha pesa alizoweka kwa mwenzake inasemakana kama milioni 70 na hakuna maandishi wala ushaidi.
hapo umempa nani mwanao au mnufaika asiyeusika
 
Wazazi wetu walikalia tungi tu na mademu saizi watoto ndio tunahasooo ,,,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa mtu aliepiganiwa na wazazi wake kama unavyojinasibu basi huwezi kuwa na akili matope kama hizi ila kwakua hayo ni maisha unayaona kwa jirani endelea ku copy uje upaste humu
Asante mungu akubaliki
 
Zamani mshahara mmoja wa Messenger ulitosha kununua viwanja 2 na chenji inarudi.
Sasa hivi labda mshahara wa mkurugenzi na Meneja ndio unatosha kununua angalau kiwanja kimoja.
Vijana wa zamani walikuwa wanashindana uzinzi na ulevi.
Sasa hici wanashindana kula tope na three some au kusagana.
 
Hii kitu ndio maana inaishia mali kupotea bila taarifa.
wewe unayesema mali za wazazi wako sio zako acha kujidanganya .
Kuna mzee kafariki bila kuwaonesha pesa alizoweka kwa mwenzake inasemakana kama milioni 70 na hakuna maandishi wala ushaidi.
hapo umempa nani mwanao au mnufaika asiyeusika
Japo una chizi sana ila wewe ni mmoja wa watu nawakubali sana humu jamiiforum ❤ 😍
 
Unajivunia za kurithi!! Mimi najivunia za kutafuta mwenyewe, natengeneza legacy, alipoishia mzee wako na wewe anzia hapohapo ili watoto wako wapate cha kujivunia kizazi chako kisizongwe na umasikini hata kama 200 yrs ahead , vinginevyo wewe na hizo mali you are both useless.
 
jambo zuri ila na mwanao atajivunia ukishakufa kazikuta
 
Kama atashindwa kuziendeleza ili nae watoto wake wazikute akabaki kuvimba kwenye mtandao ya kijamii, zitakuwa na manufaa gani sasa?
 
Kweli bana kuna watu mafather wao walikua bandari hapo since mwaka sitini ila hadi wanakuja kustaafu wanaishi kwenye kota hawajajenga kwao mkoani wala kununua plots hata chanika wakati kipindi hicho maeneo yalikua bei chee tu.
 
Back
Top Bottom