Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali za wazazi sio zako, usivimbe kwa usichokitafuta. Napita hivi
Pilau la sikukuu likamwagika kabla halijapakuliwaKwan kuna nn mkuu,nakuona tangu Jana unajiinua kweli....una uhakika utafika kesho kweli?
Mambo ya familia yenu inakuwaje unakuja kuyasimulia hapa? Malizaneni hukohukoWazazi wetu walikalia tungi tu na mademu saizi watoto ndio tunahasooo ,,,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa hici wanashindana kula tope na three some au kusagana.Zamani mshahara mmoja wa Messenger ulitosha kununua viwanja 2 na chenji inarudi.
Sasa hivi labda mshahara wa mkurugenzi na Meneja ndio unatosha kununua angalau kiwanja kimoja.
Vijana wa zamani walikuwa wanashindana uzinzi na ulevi.
Japo una chizi sana ila wewe ni mmoja wa watu nawakubali sana humu jamiiforum ❤ 😍Hii kitu ndio maana inaishia mali kupotea bila taarifa.
wewe unayesema mali za wazazi wako sio zako acha kujidanganya .
Kuna mzee kafariki bila kuwaonesha pesa alizoweka kwa mwenzake inasemakana kama milioni 70 na hakuna maandishi wala ushaidi.
hapo umempa nani mwanao au mnufaika asiyeusika
Umeulizwa, wewe watoto wako wanatafutiwa na nani? Au una mpango wa kuolewa ukazibuliwe mtaro..?Ngoja waku ban halafu akili yko ikukae sawa
Unajivunia za kurithi!! Mimi najivunia za kutafuta mwenyewe, natengeneza legacy, alipoishia mzee wako na wewe anzia hapohapo ili watoto wako wapate cha kujivunia kizazi chako kisizongwe na umasikini hata kama 200 yrs ahead , vinginevyo wewe na hizo mali you are both useless.
Basi sawa, kila la kheri, ila usisahau kutumia kilainishi, maana ni muhimu na wewe kuwatafutia watoto wako, hata ikibidi kugawa kisamvu..Kama Anavyozibuliwa mama yko
Kama atashindwa kuziendeleza ili nae watoto wake wazikute akabaki kuvimba kwenye mtandao ya kijamii, zitakuwa na manufaa gani sasa?jambo zuri ila na mwanao atajivunia ukishakufa kazikuta