Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

kiukweli nilikua sijui kuwa Kuna wazee wajinga wakutupwa hadi nilivyo thibitisha kwenye huu mtandao.wazee malaya,wanapenda ligi,umwinyi,kupenda kushindana navijana mbaya zaidi Kuna mzee humu alikua anajiita gless🤣🤣🤣dah sijui alikuwa anatafuta basha au alikuwa tapeli sijui🤣🤣.nakuna mwingine anapenda kuanzisha nyuzi za kuwaponda vijana zenye mauzui yaushoga.anatuhumu vijana nimashoga kumbe shoga yeye mwenyewe.nahisi walikuwa wamafukuana nagles
 
Wazee leo wamepaniki mkuu ila punguza sauti utapewa laana.
 
Nilipomaliza chuo kcmc moshi niliamini ile kozi niliyoisomea itanitoa kimaisha lakini mambo yalikuwa tofauti baada ya kuingia mtaani.....nilipata stress balaa kwa sababu hata kusoma kwenyewe nilisoma kibishi sana sikuwa na msaada wowote...KWENYE HARAKATI ZA UTAFUTAJI WA AJIRA NILIKUTANA NA AFISA MMOJA ANAEFANYA KAZI TAMISEMI ALINIAMBIA MANENO HAYA " USITULAUMU SISI WALAUMU WAZAZI WAKO WALIOSHINDWA KUKUTENGENEZEA CONNECTION"
 
Kumbe kijana ni shoga

Screenshot_20221227-141410_Chrome.jpg
 
Kuzaliwa na wazee ambao wako nazo sio chaguo letu ila imetokea tu. Ambacho naona hakiko sawa ni ukute wazee bado wapo na wenyewe ndo wale sukari presha mixa kupooza, wanategemea walivyojenga ndio viwasaidie mda huu. Kijana mwenzangu na namm unakomaa nawewe hizo hizo uvimbie mjini hata kujitafuta hutaki. Hii ndio inakua haijakaa sawaa kwa mtazamo wangu
 
Na vijana walioachiwa mali nao wakizubaa na kuzitapanya bila maarifa watakuja kutukanwa na vizazi vyao kwamba walikaa kizembe. Mzazi akikuachia mali ni kwamba amekupa kianzio ili na wewe utafutie wanao.
 
Back
Top Bottom