Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shika yako usishike yangu.Bila shaka itapendepeza ila shikamoo Dada mkubwa
Wazee leo wamepaniki mkuu ila punguza sauti utapewa laana.kiukweli nilikua sijui kuwa Kuna wazee wajinga wakutupwa hadi nilivyo thibitisha kwenye huu mtandao.wazee malaya,wanapenda ligi,umwinyi,kupenda kushindana navijana mbaya zaidi Kuna mzee humu alikua anajiita gless🤣🤣🤣dah sijui alikuwa anatafuta basha au alikuwa tapeli sijui🤣🤣.nakuna mwingine anapenda kuanzisha nyuzi za kuwaponda vijana zenye mauzui yaushoga.anatuhumu vijana nimashoga kumbe shoga yeye mwenyewe.nahisi walikuwa wamafukuana nagles
nihivi vizee vyadar mzer wangu anajielew anakila penshen mkoa huko.Wazee leo wamepaniki mkuu ila punguza sauti utapewa laana.
Hata box litakufaa.Vp umetu
Mia pedi au kanga? Wakati wa kubleed?
Usijali shoga anguNitashukuru sana mke wa ginimbi
And you are my mother. Shikamoo mamaThe same to your mother and your husband
Sina wivu mkuu, sikujui, hunijui, halafu mimi siyo msukuma, ni mmatumbi kutoka kusini mwa Tanganyika, kabila analotoka shujaa Kinjekitile Ngwale.Acha wivu we msukuma
Kuna dume lilikuwa Lina jiita girles unalijuwa?
Mzee asiye na pesa anaungurumaJifunze kuwa na heshima kwa wazee. Wawe wamekuzaa au hawajakuzaa, wana pesa au hawana. Wana haki ya kuheshimiwa.
Kwani pesa huanzia shilingi ngapi?Mzee asiye na pesa anaunguruma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna wazee humu wanatia huruma.Mzee asiye na pesa anaunguruma