Wapi nimesema anaonekana..Thibitisha kwamba anaonekana.
kama vitu vyote tunavyoviona, hata nguo zina mtengenezaji wake, wewe ndo ukose mtengenezaji wako. na ufike hatua ya kusema hayupo
Kwa hiyo mungu ana care sana sauti za watu wanazo hoji kiasi cha kumfanya afanye hayo wanayoyataka?Kwanini asiumbe ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea ?
Angeumba ulimwengu ambao hakuna mabaya yoyote,, bado kuna watu wangejitokeza kuhoji ( logically ) kwanini Mungu hajaruhusu mabaya kutokea ?
Kwahiyo kutoumba ulimwengu ambao hakuna mbaya ndo inathibitisha kuwa hakuna Mungu ?
Contradiction ipo wapi hapo ?
Huo ni ufinyu wako wa kufikiri, lakini sio contradiction
Lete hoja nyingine !!
Kwani kila kilichopo lazima kiwe na chanzo?Safi kabisa,sasa tuambie huu ulimwengu na sisi binadamu imekuwaje tukawa hivi tulivyo,je tumejiumba wenyewe au tumetokea pasi na chochote ? Hili swali huwa unalikimbia.
Embu tupe uwezekano au tuonyeshe kwamba Mola si muhusika wa huu ulikwengu na utuonyeshe uwezekano wa uwepo wa kitu pasi na msanifu wake,mwenye kujua,mwenye maarifa na mfano wake.
Omyesha ukichaa wake uko wapi ?
Kadhalika mpaka visivyo onekana vinamtengenezaji wake. Roho,njaa,maumivu,majonzi na mfano wake vyote vinatoka kwa Allah.
Vipo visivyo onekana ila vinauashiria wake kwa vinavyo onekana kuonyesha uwepo wake. Akili huioni wewe ila mwenye akili unamuona na asiyekuwa na akili unamuona kadhalika. Yaani Allah haonekani Ulimwenguni ila kuna muda tutamuona kama vile tunavyo jua la utosi,lakini kwa kuwa kwa sasa haonekani ila kuna ishara zinaonyesha uwepo wake akili,mazingira,ufunuo na mfano wa hivi huonyesha uwepo wake.
Kwahiyo kufikiri kwa aina hiyo unavyofikiri wewe ufinyu wake ni kama umefungiwa ndani ya chumba kidogo chenye kidirisha kidogo,kisha ukatazama nje ukahitimisha juu ya kile ulichokiona ndiyo kitu kizima wakati uhalisia ni kitu kidogo sana kwenye kile kitu kizima.
Kadhalika visivyo onekana vinamtengenezaji wake na yeye ni Allah mtukufu na akasema yeye ndiyo mjuzi wa yale ya dhahiri na yale yaliyofichikana.
Quantum Physics ni nadharia tu ambazo hata wakubwa zako hawakuweza kuzithibitisha.
Hakuna kinacho vunja "cause" and "effect" wakati kuna msanifu na kuna malighafi na kuna kile kinachotarajiwa. Labda nikupe kazi utuonyeshe kwa namna gani (hili najua huwezi kuonyesha ila naonyesha ujinga wako ulipo mili) Quantum Physics ina vunja "cause" na "effect" katika uwepo wa kiti mathalani, kilichotengenezwa kwa malighafi ya mbao (Material cause), msanifu (first cause) na kiti(effect) chenyewe. Kwahiyo kwa vyovyote vile Quantum Physics haiwezi kubatilisha (disprove) Causality.
Hivi ushawahi kufundishwa somo la ukosoaji maana hapa hujagusa hata kile alichokiandika uliye "mquote" mwisho wake una dai kwamba umeonyesha ujinga wake ? Kwenye nini mantiki au falsafa au hiyo Quantum Physics ?
Kwahiyo mkuu Kiranga anadai kwamba yeye hamuamini Mungu ( Anadai kuwa Mungu hayupo ) kisa hajawahi kumuona ?Nadhani ata siku kama kweli Mungu yupo Mungu akimpa kiranga ajieleze kwanini akumuamini nadhani kiranga anaweza,
kumwambia sikukuamini kwakua sikukuona.
Fikra za utumwa ni wewe kuamini miungu ya waarabu ngano zao na mapokeo ya kale ya jamii hizo na kuzipractice katika maisha halishi ya SasaNaamka vipi wakati wewe unaye niamsha ndiyo umelala fofo.
Mfano wa fikra za utumwa ni upi ?
Hawatakuelewa hawa binadamu wenzetu wenye upofu wa fikra mkuu!Kwa hiyo mungu ana care sana sauti za watu wanazo hoji kiasi cha kumfanya afanye hayo wanayotaka watu wake?
Mbona sisi hapa tumekua tukohoji kuhusu uwepo wake na hakuna chochote kilichofanya ajidhihirishe kua yupo kama kweli huyu mungu anajali watu wanao hoji?
Kwa hiyo mungu aliumba mabaya ili kukwepa lawama?
Alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayajadiliki kwa namna yeyote?
Kama mabaya ni sehemu ya mipango yake tutasemaje tuna mungu mwema kwa viumbe wake?
Kama mungu aliumba mabaya ili kukwepa lawama za watu endapo angeumba mazuri pekee yake, mbona bado watu wanalaumu kwa kuumba mabaya? Mbona lawama bado iko pale pale?
Kwanini huyo mungu aliumba mabaya kwa kudhani mazuri pekee yangefanya watu walaumu kwa kudai yawepo na mabaya ilihali bado watu wanalaumu kwa hayo mabaya aliyoyaumba?
Kama watu wakifanya mabaya ambayo yeye kayaweka kwa makusudi kwanini akasirike na kuwahidi kuwachoma moto wakati?
Kwa maana hiyo hata huko peponi tunakoambiwa hakuna mabaya, ni uongo tumedanganywa?
Kutokuwa naimani katika nini ? Kama hali iko hivyo kwanini mnakana sasa ?Atheism ni lack of beliefs
Bila shaka isipokuwa Mola yeye ndiyo hana chanzo na hakitanguliwa na kutokuwepo,yeye yupo.Kwani kila kilichopo lazima kiwe na chanzo?
Hivi umesoma na kuelewa kilichoandikwa na target ya hiyo hoja ukajua inataka nini?Unaweza kuthibitisha hii kauli yako ? Thibitisha kwanza kisha nikujibu madai yako uloweka chini yake !!
Katika mungu, dini, na habari nyingine zinazohusu supernatural powerKutokuwa naimani katika nini ? Kama hali iko hivyo kwanini mnakana sasa ?
Kwani unapofanya mabaya huwa unalazimishwa au kwa hiyari yako ? Sasa inakuwaje unauliza swali ambalo ukifikiria vizuri jibu unalipata hapo hapo.Kama mabaya ni sehemu ya mipango yake tutasemaje
Well, kumbe sio muhimu kua na chanzo ili kitu kiwepoBila shaka isipokuwa Mola yeye ndiyo hana chanzo na hakitanguliwa na kutokuwepo,yeye yupo.
Nimesoma na nimeelewa hoja yako,, kwangu mimi hio hoja yako sio sahihi ( madai ya uongo ),, hio ni kwangu mimi...Hivi umesoma na kuelewa kilichoandikwa na target ya hiyo hoja ukajua inataka nini?
Nihakikishie kwanza hilo maana nimeanza kuwa na shaka na uelewa wako kupitia reply yako
Safi kabisa,ni wakati gani mtu anatakiwa akanushe jambo ? Akiwa hajui au akiwa na ujuzi wa jambo hilo ?Katika mungu, dini, na habari nyingine zinazohusu supernatural power
Sasa unataka tukubali wakati hatuna imani?
Sisi tunataka uthibitisho, unao hapo?
Kwanini niwe na kazi ya kuepuka mabaya wakati mungu aliyaumba kwa ajili yangu?Kwani unapofanya mabaya huwa unalazimishwa au kwa hiyari yako ? Sasa inakuwaje unauliza swali ambalo ukifikiria vizuri jibu unalipata hapo hapo.
Mola ametupa mtihani ambao una majibu,na ndiyo maana kuna toba ukikosea unatubia,yaani unasahihisha kosa,lakini muda huo huo ambao wewe unafanya uovu kuna wenzako wanafanya mema.
Mabaya siyo kwamba uyafanye bali uyaepuke na umeshaambiwa kabisa kwamba ukifanya uovu unalipwa kadha na ukifanya wema unalipwa kadha. Sasa kwanini usifanye mema ulipwe pepo na uwezo wa kufanya mema unao,sasa hii ndiyo maana halisi ya "Free Will" yaani uhuru ulio kamilika.
Ebu nifafanulie umeelewaje hoja yangu?Nimesoma na nimeelewa hoja yako,, kwangu mimi hio hoja yako sio sahihi ( madai ya uongo ),, hio ni kwangu mimi...
Sasa nimekutaka uthibitishe hio hoja yako kwanza ili nione ukweli wake, wewe uliskia wapi au umeona wapi,,
If you assert a claim without valid proof, then it is considered as void !!
Yaani hawa watu wanavituko sana wanakwambia ulimwengu na vitu vyote viliumbwa na Mungu,yaani yeye ndio chanzo kwa kuviumbaWell, kumbe sio muhimu kua na chanzo ili kitu kiwepo
Back to your question
Niulize tena kuhusu chanzo cha ulimwengu now nitakujibu
Chanzo ni muhimu,na hapo hakuna mwanya unao onyesha kuokuwa na umuhimu wa chanzo.Well, kumbe sio muhimu kua na chanzo ili kitu kiwepo
Sasa nikuulize vipi wakati hili ndiyo swali ambalo mnashindwa kulijibu kila siku.Niulize tena kuhusu chanzo cha ulimwengu now nitakujibu
Kukanusha jambo ni common sense tu ndo inayohitajikaSafi kabisa,ni wakati gani mtu anatakiwa akanushe jambo ? Akiwa hajui au akiwa na ujuzi wa jambo hilo ?
Naomba unielezee kutokuwa na imani katika Mungu kukoje,navyo jua mimi ni kuwa ni katika ukanushaji na kukataa juu ya uwepo wa mungu,sasq swali ilikuwaje mkafikia huku je ushahidi wa kutokuwepo mungu mnao ? Usilete hoja za dhana,mara ooh labda mara kadha,hizi habari hatutaki na usilete mambo ya logic sababu logic ni dhaifu mno.
Huna imani vipi,wakati imani yako ni kutokuwepo kwa mungu. Atheism nayo ni imani,ndiyo maana hata maana yako uliyo itoa iko dhidi ya uhalisia.
Atheism ni kuto amini juu ya uwepo wa Mola. Maana kutokuwa na imani juu ya kitu fulani ni kukikanusha. Muwe mnajifunza hata lugha na maneno yake katika maana.
Uthubitisho siyo tu kwamba ninao,bali upo na muda wowote na utoa.
Lakini suala la ithibati katika adabu za mjadala,yule anaye kanusha ndiyo huwa ana haki zaidi ya kuthibitisha juu ya kile anacho kikanusha sababu yeye hudhaniwa ya kuwa ana ujuzi mkubwa juu ya jambo hilo. Lakini hili huwa mnalikimbia na kuthbitisha ya kuwa hamna ujuzi ila tu sababu mko huru kusema au kuandika mnacho kitaka basi mnaandika tu.
So hata ku brief ulichoelewa nacho huwezi?Kwani wewe unadhani nimeelewaje ?
Ingekuwa kuna kupeana tuzo za kukimbia maswali,, aisee wewe ningekupa PhD