Jamaa hata yale maajabu ya musa kuwekwa museum pale misri yanamfanya asiamini kama kuna Mungu....Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.
Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters
My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
Mshana Jr
Nilikia nashindwa kujibu kwasababu nilikua nadhani chanzo ni muhimu ili kitu kiwepo, ila now umenifunza kua chanzo si muhimuChanzo ni muhimu,na hapo hakuna mwanya unao onyesha kuokuwa na umuhimu wa chanzo.
Sababu tunapo mzungumzia Mola ambaye ni "Necessary Being" yaani uwepo hauna kinyume sababu yeye ni ndiyo mwanzo,ukiuliza kumbe hakuna umuhimu inabidi utuonyeshe wewe kwamba huko kutokuwa na umuhimu kunawezekana vipi kisha utuambie imekuwaje ulimwengu uko hivi ulivyo.
Sasa nikuulize vipi wakati hili ndiyo swali ambalo mnashindwa kulijibu kila siku.
Hajanijibu mpaka muda huu KirangaAkikujibu nitag
Musa gani?Jamaa hata yale maajabu ya musa kuwekwa museum pale misri yanamfanya asiamini kama kuna Mungu....
Hujalielewa swaliKila kilichopo kwenye space, time and matter lazima kiwe na chanzo,,
Nimsaidie kukuuliza hilo swali unalotaka akuulize ?
Haya, ngoja tuone!On his behalf
Pengine kali ignore swali lako kwakua huelewi maana ya atheist
Kuko tofauti na kuamini katika munguNaomba unielezee kutokuwa na imani katika Mungu kukoje,
Unaelewa maana ya atheism?Haya, ngoja tuone!
Sababu amekupa uwezo wa kuyaepuka na hiyo si kazi tena.Kwanini niwe na kazi ya kuepuka mabaya wakati mungu aliyaumba kwa ajili yangu?
Una akili ndogo sana,mabaya yana athari hasi ndiyo maana lazima yaepukwe. Kitu kinacho dhuru wewe kiakili au kimaana au kihisia,hicho ni kibaya kwako vipi huwa unakiepuka au unazembea ? Unauliza maswali ya kitoto sana.Ingekua mabaya yanatakiwa kuepukwa basi Mungu huyu angetuepushia kwa kutoyaruhusu kuwepo.
Hii siyo kweli hakuna akili inayo kubali kwamba kila ambacho kipo basi kitumike,hilo halipo. Ndiyo maana mola wetu akatuweka wazi juu ya yote yenye manufaa na yote yenye hasara na akaweka mlango wa kutubia kwa yale tunayo kosea.Kwa fact ya kidini tu swala hilo haliingii akilini, kitendo cha yeye kuyaruhusu ili yawepo maana yake yatumike (kama isingekua kutumika asingeyaumba) halafu wewe ukawa unayaepuka. huoni kwamba ni dhambi unafanya kufru kwa kumkosoa mungu kua kazi yake ya kuumba mabaya ina makosa??
Ushahidi gani ambao ulitarajia sisi tungekuwepo nao ambao ungekushawishi wewe kua tumeweza kuthibitisha Mungu hayupo?navyo jua mimi ni kuwa ni katika ukanushaji na kukataa juu ya uwepo wa mungu,sasq swali ilikuwaje mkafikia huku je ushahidi wa kutokuwepo mungu mnao ? Usilete hoja za dhana,mara ooh labda mara kadha,hizi habari hatutaki na usilete mambo ya logic sababu logic ni dhaifu mno.
Kuweka mipaka ni kukubali kupachika uwongo kwa makusudiHilo swali ni la uongo,, ni swali la kizushi..
Swali lako lazima liwe na mipaka,,
Hivi unaujua ulimwengu.?
Je, binadamu anaweza kuGrasp vitu ambavyo vipo beyond ulimwengu ?
Nimsaidie kukuuliza lile swali ?
Kutokuwepo kwa imani, sio kuwepo kwa imani.
Huna imani vipi,wakati imani yako ni kutokuwepo kwa mungu. Atheism nayo ni imani,ndiyo maana hata maana yako uliyo itoa iko dhidi ya uhalisia.
Atheism ni kuto amini juu ya uwepo wa Mola. Maana kutokuwa na imani juu ya kitu fulani ni kukikanusha. Muwe mnajifunza hata lugha na maneno yake katika maana.
Kwani vilivyopo hua vipo wapi?Kila kilichopo wapi ?
Kipi kilichokufanya uhisi sijafanya hivyo?Kwanini usitumie njia zako ww kuthibitisha kuwa Mungu wake hayupo,, Kwanini utegemee jinsi atakavyopinga usahihi wa Miungu wa dini zengine ?
Ina maana hoja zako ww haziwezi kusimama kivyake ?
Kukanusha jambo usilo lijua ni ujuha,yaani upunguwani.Kukanusha jambo ni common sense tu ndo inayohitajika
Huyu simjui. Ni nani huyu ?Unauthibitisho kua sndanguja yupo? Vipi unapinga kua hayupo?
Kwamba haya umesema wewe,basi ni jukumu lako kututhibitishia ya kuwa yeye amefanya hayo. Hayo aliyo yasema tunayapata wapi ?nasema kua alimuumba huyo mola na kua sio mola ndo chanzo cha vyote.
Maana yake hapa ukishindwa kuthbitisha unathibitisha ya kuwa wewe huna elimu juu ya hilo unalo kanusha,na usahihi ulitakiwa ukae kimya mpaka siku utakapo weza kuthibitisha hilo. Hamfundishwi adabu za kielimu.Kwasababu huwezi kuthibitisha hayupo haitamaanisha hayupo.
Nimecheka sana,ndiyo maana huwa tunawaambia akili hamna."TUMA 5,000,000 KWA SCARS HARAKA IWEZEKANAVYO MIMI NI MUUMBA WAKO"
[emoji3][emoji3][emoji3]sawa kiranga mwingineMusa gani?
Unajuaje ni musa wa vitabuni na sio kibopa tu wamtaani?
Soma nilicho kiandika kisha ukielewe na ujibu swali nililo kuuliza.Nilikia nashindwa kujibu kwasababu nilikua nadhani chanzo ni muhimu ili kitu kiwepo, ila now umenifunza kua chanzo si muhimu
Nadhani hata wewe huna haja ya kuuliza tena hilo swali kwasababu majibu unayajua kua hakuna chanzo
Nikisipojua wapi vinapokua hiyo itafanya huko vilikokua visiwepo?Kumbe hujui huwa vinakuwa wapi, sasa unaulizaje swali ingawa hujui vitu vinakuwa wapi ?
Narudia tena,, swali lako ni la uongo na la kizushi,, halina usahihi !!
Nimesoma na nimejua kua chanzo si muhimuSoma nilicho kiandika kisha ukielewe na ujibu swali nililo kuuliza.