Kwa maana hiyo mabaya yaliumbwa kwa lengo lipi?Hii siyo kweli hakuna akili inayo kubali kwamba kila ambacho kipo basi kitumike,hilo halipo. Ndiyo maana mola wetu akatuweka wazi juu ya yote yenye manufaa na yote yenye hasara na akaweka mlango wa kutubia kwa yale tunayo kosea.
Lazima tuyaeupuke sababu yeye amelazimisha tuyaepuke na ametupa bishara ya adhabu.
Hapo tumeelewana mkuu,, tuko pamoja..
Hii logic sio sahihi,, Ngoje nikupe huu mfano mdogo...
Mungu ni muweza wa wote na ndo maana haitotokea atengeneze kitu ambacho hawezi kukimudu,,
Hii si maana ya mjinga,mjinga ni yule asiyejua jambo fulani.nayosemaa,
Ivi unajua sifa mojawapo ya mjinga.... Mjinga huwa anaamini sana yale aliyojifunza na inakuwa ngumu kwake kubadilika kutokana na maarifa mapya yanayokinzana na ujuzi wake wq awali.
Alikuwa sahihi katika hili na kweli alikuwa hajui. Kujua kama wewe hujui ni hatua na wewe ni mwerevu,tena kusema hujui kwa kile ambacho hukijui ni nusu ya elimu.Socrates alisemwa na oracle hio kale ya ugiriki kama mtu aliye na busara kuliko wote. Jee unajua sentensi inayojumuisha mafunzo yake yote inasemaje...
Inasema hivi " ninachojua kwa uhakika ni kwamba sijui kitu"
Kuna namna kadhaa za kutoa maana ya jambo,hapa nagusia namna ya kuarifisha tamko kwa mfano. Nasema mimi,Wakana mungu ni wagonjwa wa akili,sasa ukitaka kumjua mgonjwa wa akili katika aina za ugonjwa wa akili basi watazame wakana mungu.Na je unajua ugonjwa wa akili upo vipi sifa za wenye ugonjwa wa akili unazifahamu? Nafahamu chache kama kusikia sauti kichwani, kuona vitu ambavyo havipo, na kuwa na mashaka kama kuna kitu kinakwangalia matendo yako na kina kalamu kinaorodhesha, tena mpaka hata chooni bado tu kinakufatilia nyendo hata mawazo kinahesabia,
Huu siyo ushahidi wa kuonyesha yeye alikuwepo,tukienda katika misingi ya uhakiki wa habari. Sifa ya masimulizi yawe ya kweli lazima kuwe na mpokezi wa habari hiyo tena awe amemuona au huyo amepewa habari na yule aliyemuona. Kuhusu machapisho hichi si kigezo mpaka ubainike ukweli juu ya wale wali mdiriki tena wawe na sifa ya ukweli.Kuhusu proof ngoja nikupe somo kidogo tuu
Jambo linakuwa linathibitishwa pale zaidi ya ushahidi moja unapotolewa
Mfano
Geogre washington ameacha shahidi nyingi sana kuna barua alizoandika, kuna kaburi, kuna story za watu waliokutana,kuna evidence ya vita aliyopigana,
Kwanza suala la wao kukimbia maswali labda wewe umeamua kupoteza muda kwa kuandika uongo.Na pia unaongea watu kukimbia maswali huna lolote watalamu wa psychology wanajua tuu hio ni self defence yaani unapakazia wengine madhaifu ambayo unayo
The History of Andalusia.Nikuulize swali je ni kitabu gani cha mkusanyiko wa waandishi ambao hao waandishi sio wao walioandika hicho kitabu?
Ehee hii sentensi inaonyesha jinsi gani ulivyo makini kutambua yaliyo ya uwongo.Hii logic sio sahihi,, Ngoje nikupe huu mfano mdogo...
Yaani umwambie computer scientist atengeneze application ya simu ambayo hata yeye atashindwa kuimudu,, huoni kwamba hayo madai hayana mantiki (logic),, inawezekana vp akatengeneza codes ambazo yeye atashindwa kuzichambua ? Hii hoja sio sahihi
Yaepukwe na ikitokea mtu ametenda mabaya atubie na anasamehewa.Kwa maana hiyo mabaya yaliumbwa kwa lengo lipi?
Mungu alikurupuka?
Mkuu, naomba nipingane na wewe kidogo. Dhambi inaitwa dhambi si kwa sababu Saudia Arabia kwao si dhambi halafu nchi zingine ni dhambi, BALI KWA SABABU MUNGU Kasema ni dhambi. Kwahiyo kama Mungu amesema kwa mfano usizini, basi hiyo ni dhambi hata kama Mwanasayansi mwenye PhD 20 anasema tendo hilo sijui linapunguza stress na blah blah kibao, na akaleta ushahidi wake na reaserches zake.Nakubaliana nawewe maana ukienda nchi kama Saudi arabia wanawake wanajistili sana ila unakuta kesi za ubakaji ni nyingi ila kuna nchi bado watu wana achia matiti wazi mpaka leo lakini akuna baya linalo tendeka dhambi na dhani ipo akilini mwetu tu.
Hahahahah, ukiwasikiliza atheists utashangaa wanakuuliza atheists ni nani? Hoja zao hazima foundation, zinaelea elea tuIna maana ulimuuliza mtu swali kwa kutumia neno ambalo hulijui ? Seriously ?
Hahaha a million dollar question. Eti watoto ni atheists duhSi kweli.
Kwahiyo unataka kutuambia kutokujua na kukataa uwepo wa mungu hivi viko sawa ns ndiyo "Atheism" hii ?
Sasa kama hata kutofautisha kati ya kutokujua na kukana unashindwa inakuwaje una mkana Mungu ?
Jurjani
Nashindwa kuthibitisha kama una kimbia swali au unatapatapa
Nii hili swala la mgonjwa wa akili hebu niambie hawa watu kwenye hii mifano kama ni wazima. Moja... Anataka kumchinja mtoto wake kwa sababu kuna sauti kasikia kichwani mwake ikimwambia atende hivyo. Mbili..
Naona unapoteza kumbukumbu,hapo awali ulitaja sifa unazo ona wewe ya kuwa ni za mgonjwa wa akili,mimi nikakupa sifa anuai ya mgonjwa wa akili. Sasa unaposema nakimbia swali wakati nilikwambia hayo si sifa anuai ya mgonjwa wa akilo mpaka itakapo thibitishwa sababu hayo yanaingia katika mawenge,wasi wasi na kuchezewa na shetani. Sasa huenda nilicho kiandika ni kipya kwako au hukukielewa,ila kuhusu jibu nilikujibu vizuri sana.. Anasema aliona mti unawaka moto bila kuungua. Tatu... Watu wanaamini kuna mtu hapo kale kidogo alitembea juu ya maji.
Karibu sana
Kama Kisirani hivi au kiherehere . Utanisahihisha.mnajua maana ya kiranga ?
Mimi nafikiri makosa ni kujadili kitu bila kujua maana yake ni nini.mimi hua nashangaa sana kuona kiranga anabishana na officiaboy + jurjani.
Like how can you argue with someone who is mentally unstable to grasp the concept you are trying to say?.
kiranga kauliza "thibitisha mungu yupo" ila wanajibu kua "thibitisha hayupo", utadhani kisichopo kipo kuthibitishika hakipo.
mi nadhani muache kubeat around the bush, mthibitishieni huenda akawa mfuasi wenu, people are won over na sio kumdictate kwa vitisho vya
Yaepukwe ili iweje?Yaepukwe na ikitokea mtu ametenda mabaya atubie na anasamehewa.
NdioKwani mjadala ni kuhusu 1+1 ?
Naona unapoteza kumbukumbu,hapo awali ulitaja sifa unazo ona wewe ya kuwa ni za mgonjwa wa akili,mimi nikakupa sifa anuai ya mgonjwa wa akili. Sasa unaposema nakimbia swali wakati nilikwambia hayo si sifa anuai ya mgonjwa wa akilo mpaka itakapo thibitishwa sababu hayo yanaingia katika mawenge,wasi wasi na kuchezewa na shetani. Sasa huenda nilicho kiandika ni kipya kwako au hukukielewa,ila kuhusu jibu nilikujibu vizuri sana.
1. Sauti hizo hazimaanishi kuwa huyo ni mgonjwa wa akili sababu hata mtu mzima na afya yake ya akili hali hizi huwa zinawatokea watu. Ndiyo maana ukimuuliza anakujibu na anakuwa na kumbukumbu kabisa.
2. Nukta ya pili ya kuona mti,vipi iwe ishara ya mtu kuwa hana akili ? Au mgonjwa wa akili ? Nitakuuliza aliona ndotoni au na je hali hiyo ni yenye kujirudia rudia au ?
3. Huu mfano ni mfu na unaonyesha huna maarifa juu ya haya mambo. Huu tunauita ni muujiza na wenyewe huzingatiwa kwa mizani ya aina mbili. Mzani wa karama kwa wale waja wema ambao ni wacha mungu walikuwa wanafanya sana mambo yasiyo kuwa ya kawaida,ila wapo marafiki wa shetani nao hufanya mambo ya ajabu ila kwa kuificha haki na kudhihirisha upotevu.
Mimi nakuuliza swali sasa,kwanini umetoa mifano ya uongo ?
ulitakiwa uthibitishe hiyo miungu haipo ili tujue kweli inawezekanaHiyo nimekuonyesha ya kuwa hilo nawezana tunarudi kwenye asili,sababu ukivunja msingi ndiyo umeangusha jengo.
Lakini ulitakiwa uainishe ya kuwa unazungumzia ng'ombe au ?Ng'ombe yupo ila naongelea ubatili wa ng'ombe kufanywa mungu.
kuna kitu kinaitwa "burden of proof"Kukanusha jambo usilo lijua ni ujuha,yaani upunguwani.
Sasa usiseme tu ni akili ya kawaida katika upuuzi. Yaani mtu jambo hulijui unalikanusha mwisho unasema ni akili ya kawaida ? Hili si sawa.
unataka kumjuaje, wakati jina nimekuwekea pamoja na uhusika wake unaomtambulisha yeye ni nani?Kukanusha jambo usilo lijua ni ujuha,yaani upunguwani.
Sasa usiseme tu ni akili ya kawaida katika upuuzi. Yaani mtu jambo hulijui unalikanusha mwisho unasema ni akili ya kawaida ? Hili si sawa.
Huyu simjui. Ni nani huyu ?