Naogopa kujibu nini mbona una akili za kitoto? kwani hapa tunashindana kujibu maswali au tunajadiliana? ulichojibu bado hakijaeleweka.Nimekuuliza Mungu ni nini.
Hujajibu.
Kwa nini unaogopa kujibu?
shetani Ni Nini/Nani? na uchawi Ni Nini ? Fafanua kwanzaje? unaamini shetani yupo na uchawi upo?
Nawezaje kujadiliana nawe kuhusu Mungu wako kama wewe hata hutaki au unaogopa kusema huyo Mungu wako ni nini?Naogopa kujibu nini mbona una akili za kitoto? kwani hapa tunashindana kujibu maswali au tunajadiliana? ulichojibu bado hakijaeleweka.
Watoe watu ujinga, umesema Mungu ni dhana ila hujaeleza ni dhana ipi ili japo tuweze kujua kwa kutumia hiyo dhana je Beyonce ni Mungu ama si Mungu.
Kuna niliposema kuhusu Mungu wangu hapa au nimekwambia tuzungumzie kuhusu Mungu wangu? umesema Mungu ni dhana ila huelezi ni dhana ipi hiyo? naona unaishia tu kutaja mara Mungu wangu mara Mungu Beyonce, eleza hiyo dhana ni ipi ili ndio tusonge mbele.Nawezaje kujadiliana nawe kuhusu Mungu wako kama wewe hata hutaki au unaogopa kusema huyo Mungu wako ni nini?
Huelewi dhana ni nini?Kuna niliposema kuhusu Mungu wangu hapa au nimekwambia tuzungumzie kuhusu Mungu wangu? umesema Mungu ni dhana ila huelezi ni dhana ipi hiyo? naona unaishia tu kutaja mara Mungu wangu mara Mungu Beyonce, eleza hiyo dhana ni ipi ili ndio tusonge mbele.
Ukiishia tu kusema Mungu ni dhana bado unakuwa hujajibu Mungu ni kitu gani hasa.
Whatever they are ila lazima tukubali kua ni tangible na mungu mwenyewe ni mada (matter),Mimi sina idea hayo macho ya Mungu yapoje, siwezi kuyafananisha na ya simba wala Eagle wala binaadamu.
Sio sielewi dhana ni nini bali sielewi ni dhana ipi hiyo? umesema Mungu ni dhana ok sawa ila sasa eleza hiyo dhana tuijue kwamba Mungu ni dhana fulani au dhana yenyewe ni kuhusu jambo fulani.Huelewi dhana ni nini?
Mungu ni nini? Mbona hujajibu swali hili?
Huna hata idea kama mimi hiyo mikono au hayo macho ya Mungu ikoje hasa au kimekusudiwa nini ila unahitimisha tu, maana kuna hadi mkono wa serikali sasa sijui wewe huwa unaelewa nini huo mkono wa serikali?Whatever they are ila lazima tukubali kua ni tangible na mungu mwenyewe ni mada (matter),
Na tunaona mungu naye anasifa hizo, maana anaketi kwenye kiti cha enzi hiyo inaonesha kwamba naye ni mada
sasa niambie nani creator wa mungu kwasababu principle mliyo propose ni kua kila chenye kuchukua nafasi ni lazima kiwe na chanzo?
Serikali ni watu, watu hawana mikono?Huna hata idea kama mimi hiyo mikono au hayo macho ya Mungu ikoje hasa au kimekusudiwa nini ila unahitimisha tu, maana kuna hadi mkono wa serikali sasa sijui wewe huwa unaelewa nini huo mkono wa serikali?
Hayo ndo huwa majibu ya Kiranga. Kama unaamini uchawi upo na shetani yupo, basi tambua kwamba ni wazi kabisa Mungu yupo. Vinginevyo utakuwa na matatizo ya akili.je? unaamini shetani yupo na uchawi upo?
Sasa watu kuwa na mikono ndio nini kwamba huionganisha hiyo mikono? Mimi nishakwambia kwamba sina idea ya kwamba huo mkono wa wa Mungu unafananaje wala hicho kiti chake kikoje na anakaaje,sasa wewe unaeona kuwa ni sawa tu na sisi ndio utueleze anakaaje au hicho kiti kinachozungumzwa kikoje?Serikali ni watu, watu hawana mikono?
Kama kila kitu unataka ukitemngenezee pattern kupindisha maana basi niambie kiungo gani kinachotumiwa kukalia, kwasababu somewhere kuna contents zimeandika mungu ameketi kiti cha enzi, ni image gani unayoipata nje ya matako?
Mimi sijakuuliza mkono wa mungu unafananaje, mimi nahoji kulingana na madai yenu ambayo mme propose kua mada ni lazima iwe na chanzoSasa watu kuwa na mikono ndio nini kwamba huionganisha hiyo mikono? Mimi nishakwambia kwamba sina idea ya kwamba huo mkono wa wa Mungu unafananaje wala hicho kiti chake kikoje na anakaaje,sasa wewe unaeona kuwa ni sawa tu na sisi ndio utueleze anakaaje au hicho kiti kinachozungumzwa kikoje?
Na mimi ndio nahoji sasa huko kukaa au sijui mkono wa Mungu kunakozungumziwa ina maana sawa na hii mikono tunayoijua au huko kukaa ndio kama hivi tukaavyo sisi? lazima tuwekane sawa kwanza hapo ili ndio tuweze kufika huko unaopataka.Mimi sijakuuliza mkono wa mungu unafananaje, mimi nahoji kulingana na madai yenu ambayo mme propose kua mada ni lazima iwe na chanzo
Mungu ambaye anadaiwa kuwa na makazi mbinguni, tayari kaisha take some place na hiyo ni sifa ya mada, tena vitabu vikaenda mbali kua mungu huyo pia hata kukaa hua ana kaa kwenye kiti cha enzi, Sasa nani aliyemuunda huyo mungu?
Karudie kusoma post nilizo kunukuuBado naona mnakwepa kutoa majibu ya swali nililowauliza Scars Emmanuel J. Buyamba , naombeni mnipe majibu ya swali nililowauliza msipige porojo nipeni formation ya vitu nilivyowauliza vilitokeaje? Mbona mnakimbia kutoa majibu straight.
Kama hamjui hivyo vitu vimetokeaje(formation) mniambie msikimbie swali.
NB: Bado naendelea kusubiri majibu ya hivyo vitu vilitokeaje(formation)
Kwani wewe unapata image gani ukiona neno "ameketi kwenye kiti"?Na mimi ndio nahoji sasa huko kukaa au sijui mkono wa Mungu kunakozungumziwa ina maana sawa na hii mikono tunayoijua au huko kukaa ndio kama hivi tukaavyo sisi? lazima tuwekane sawa kwanza hapo ili ndio tuweze kufika huko unaopataka.
Kiukweli binafsi sijawahi kujenga image ya Mungu kukaa kwenye kiti sijui kwa wengine, kwa sababu kwanza lazima upate image ya huyo Mungu mwenyewe alivyo kisha ndio uje kupata image ya jinsi alivyokaa kwenye hicho kiti.Kwani wewe unapata image gani ukiona neno "ameketi kwenye kiti"?
Kwani maandiko yaliposema mungu alimuumba adamu kupitia image yake yalimaanisha nini?Kiukweli binafsi sijawahi kujenga image ya Mungu kukaa kwenye kiti sijui kwa wengine, kwa sababu kwanza lazima upate image ya huyo Mungu mwenyewe alivyo kisha ndio uje kupata image ya jinsi alivyokaa kwenye hicho kiti.