UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Naogopa kujibu nini mbona una akili za kitoto? kwani hapa tunashindana kujibu maswali au tunajadiliana? ulichojibu bado hakijaeleweka.Nimekuuliza Mungu ni nini.
Hujajibu.
Kwa nini unaogopa kujibu?
Watoe watu ujinga, umesema Mungu ni dhana ila hujaeleza ni dhana ipi ili japo tuweze kujua kwa kutumia hiyo dhana je Beyonce ni Mungu ama si Mungu.