Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kwa hivyo umekubali wewe huna Mungu?

Huamini Mungu yupo?
 
Hakuna aina moja ya chombo cha usafiri majini,kuna boat ambayo ni tofauti na Meli na kuna mtumbwi ambao ni tofauti na nyambizi.

Hivyo vyote vina sifa tofauti na mwenzie ingawa ni vyombo vya usafiri wa majini.
Kama ukimuambia usafiri wa majini bado utakua umemuweka highway kutokana na huyo mtu kujua usafiri wa boat, mtumbwi nk.

Kwa maana hiyo nikisema mungu, unapata maana ngapi tofauti tofauti zinazokufanya uchanganyikiwe kuelewa imekusudiwa maana ipi kati ya hizo?
 
Alaah, sorry sikufikiria hilo. Asante kunikumbusha
Sisi watu wa bara kiswahili changamoto 😀
Huyo ame flip hoja kwasababu Verse haijasema mungu amekaa, verse imesema mungu ameketi kwenye kiti cha enzi

Sasa unaonganisha vipi dots zikupe maana nyingine inayoonesha sio kitendo cha makalio kukaa kwenye hicho kiti?
 
Ukisema tu Mungu nakuwa sielewi kabisa unazungumzia nini maana umeishia tu kusema ni dhana na dhana ziko nyingi tu.
Kuna vyombo vya usafiri ambapo miongoni mwa hivyo vyombo vya usafiri kuna vyombo vya usafiri wa majini ndipo tunapopata meli boat n.k

Sasa kusema tu Mungu ni jambo la dhana bado unaniacha njia panda.
 
Huyo ame flip hoja kwasababu Verse haijasema mungu amekaa, verse imesema mungu ameketi kwenye kiti cha enzi

Sasa unaonganisha vipi dots zikupe maana nyingine inayoonesha sio kitendo cha makalio kukaa kwenye hicho kiti?
Nimeelezea maana za hilo neno kukaa na sijazungumzia kuketi.
 
Kwa hiyo wewe ni theist ambaye huelewi mungu ni nini?
 
Mimi nimeuliza Mungu ni nini?
kwani nani kasema we umeuliza hivyo?

Nakuuliza kulingana na jinsi ulivyo dai kua mtu akisema mungu unakua huelewi mungu ni nini, sasa we ni theist wa namna gani?
 
kwani nani kasema we umeuliza hivyo?

Nakuuliza kulingana na jinsi ulivyo dai kua mtu akisema mungu unakua huelewi mungu ni nini, sasa we ni theist wa namna gani?
Ni hivi nimeuliza swali kuwa Mungu ni nini? ukanipa jibu la kwamba Mungu ni dhana, sasa hapo unadhani mimi nitasema nimeelewa Mungu ni nini kutoka kwenye hilo jibu?
 
Hii nimeipenda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna mmepinda,yaani unamuita Mungu msanii?
 
Ni hivi nimeuliza swali kuwa Mungu ni nini? ukanipa jibu la kwamba Mungu ni dhana, sasa hapo unadhani mimi nitasema nimeelewa Mungu ni nini kutoka kwenye hilo jibu?
Na ndio maana na mimi nimestaajabu ni theist wa namna gani asiyejua maana ya mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…