Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa hivyo umekubali wewe huna Mungu?Wewe umesema Mungu ni dhana, sasa nimtaje Mungu gani tena mwengine wakati ushamaliza kuwa Mungu ni dhana?
Nilikwambia ueleze Mungu ni nini ila ukashikilia tu kusema kwamba ni dhana tu kwamba ni jambo la kufikirika tu hukutaka tujue Mungu ni kitu gani, sasa unaanzaje kuniambia nikutajie Mungu wangu wakati hujaeleza huyo Mungu ni kitu gani, nitakutajia nini sasa maana dhana ziko nyingi na wewe umeishia kutuambia Mungu ni dhana sasa sijui nikutajie dhana ipi.
Huamini Mungu yupo?