Kazi yangu nimemaliza.unaweza kuthibitisha kua yale maneno nimeandika mimi?
Hauko seriuos na hiki tunachi kijadili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi yangu nimemaliza.unaweza kuthibitisha kua yale maneno nimeandika mimi?
Poa.hii ni dalili njema inayoonesha umeridhika na uthibitisho aliokupa sndanguja
Basi bado hajaijua vizuri hii dunia!Kilanga aamini chochote(super nature) na zaidi ye hataki kuamini, anataka KUJUA .
Uchawi, vibweng'o, majini kwake ni HEKEYA tu, hakuna anaeweza kuthibitisha kwamba vipo.
siyo hivyo mkuu,ni mwanaume asiyetosheka na mwanamke mmoja ,wewe angalia kwenye kamusi onlineKama Kisirani hivi au kiherehere . Utanisahihisha.
Poa.siyo hivyo mkuu,ni mwanaume asiyetosheka na mwanamke mmoja ,wewe angalia kwenye kamusi online
Nimeona,uko sahihi.siyo hivyo mkuu,ni mwanaume asiyetosheka na mwanamke mmoja ,wewe angalia kwenye kamusi online
kwaiyo kwa lugha allah anamakusudi yake watu wengine wasiuelewi uislam ili awa adhibu vikali?????? kuna mda huo naona dini inazuia binadamu kuwa kwa kina ili hali tulishapewa hofuQuran inasema Allah kasema kuna watu Waislamu wasibishane nao, kwa sababu watu hao Allah mwenyewe kawaziba macho na masikio, kisha kawafanya mioyo yao iwe migumu kumuelewa.
Halafu, watu hao hao ambao Allah kawafanya macho yao yasimuone, masikio yao yasimsikie wala mioyo yao isimjue, wakishindwa kumjua Allah, kwa sababu Allah kawazuia wasimjue, Allah atawahukumu vikali kwa kutomjua.
Halafu unaambiwa Allah ni Mungu wa haki yote, upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote.
Sasa mtu anayeamini Mungu huyu Allah, hataki reason wala logic, unaanzaje kubishana naye?
wakati ukisubiri uthibitisho kua aliesema yale maneno ni SNDANGUNJA(ambao najua haupo zaidi ya simulizi za Scars ,ww tupe ushahidi wa QUR AN ni maneno ya MUNGU/Mwenyezi Mungu.Maneno yale hayajasimama kama uthibitisho sababu wewe umenukuu,na ukasema ni maneno ya fulani. Sasa ni juu yako kututhibitishia hilo. Usipoteze muda.
Nimekwambia uthibitishe sababu sijui ya nani ila umeandika wewe. Sasa usiulize maswali ya kitoto na kukimbia swali.
Unarudia ujinga ule ule na kupoteza muda.
Ungeuliza swali endapo ningekuwa nimekanusha juu ya hilo,ila nimehoji na kutaka ushahidi kwanza kutokana na kile kilichomo katika maneno hayo.
Sasa kama unaleta mzaha katika mambo yanayo hitaji umakini wa hali ya juu,hapa hakuna pa kutokea. Weka ithibati ya kwamba hayo maneno ni ya huyo uliyemtaja na uonyeshe uwezekano huo yaani uhalisia.
Naona unazidi kuthbitisha ya kuwa wewe ni mgonjwa wa akili na hiki ulichokiandika huna ushahidi nao.
Sasa cheza vizuri usichafuke usije kuchapwa na mkubwa wako.
Kazi yangu nimemaliza.
hahaaaa umeamua kuturn argument katika mtindo wa yy avae viatu vyako,ila nadhani hajaliona hili!.ushahidi ni quote iliyoandikwa kwa capital kubwa, huo ndio ushahidi kuonesha sndanguja yupo na ndo aliyeandika hiyo line
Ukisema huo sio ushahidi unatakiwa uthibitishe kwanini huo usiwe ushahidi, kwakua quote ile ilikua inaushahidi wa kuonesha sndanguja yupo nawe umepinga kua sio ushahidi itakubidi pia uthibitishe sndanguja hayupo
Mtindo wangu na wake haufanani sababu mimi naongelea uhalisia yeye analeta utoto ambao nafsi yake inashuhudia na inajulikana wazi na ndiyo maana maswali hajibu.hahaaaa umeamua kuturn argument katika mtindo wa yy avae viatu vyako,ila nadhani hajaliona hili!.
Kwanza kabisa swali hili halikuanza leo kwani Mtume zama zake walio dhidi yake walikuwa wanamtaka ushahidi juu ya ukweli wa kile anachokisema,wakawa wanamuita kwa majina mengi mara mchawi mara mwenda wazimu,mara mzushi na yasiyokuwa hayo. Allah akawapa kazi (Challange) watu hao,akasema :wakati ukisubiri uthibitisho kua aliesema yale maneno ni SNDANGUNJA(ambao najua haupo zaidi ya simulizi za Scars ,ww tupe ushahidi wa QUR AN ni maneno ya MUNGU/Mwenyezi Mungu.
natanguliza shukrani.
Endelea ila mpaka hapo sijaona ushahidi, zaidi naona "fasihi simulizi" na mapokeo, na unatumia reference ya kitabu nnachohoji authentication yake.Kwanza kabisa swali hili halikuanza leo kwani Mtume zama zake walio dhidi yake walikuwa wanamtaka ushahidi juu ya ukweli wa kile anachokisema,wakawa wanamuita kwa majina mengi mara mchawi mara mwenda wazimu,mara mzushi na yasiyokuwa hayo. Allah akawapa kazi (Challange) watu hao,akasema :
88. Sema: Wangeli kusanyika watu na majini ili walete mfano wa hii Qur'ani basi hawaleti mfano wake, hata wakisaidiana wao kwa wao.(al-Israa : 88)
Lakini haikuishia hapo akasema tena Allah mtukufu.
13. Au wanasema: Ameizua? Sema: Basi leteni Sura kumi zilizo zuliwa mfano wa hii, na waiteni muwawezao badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.
14. Na wasipo kuitikieni, basi jueni ya kwamba (hii Qur'ani) imeteremshwa kwa ujuzi wa Mwenyezi Mungu, na kwamba hapana mungu ila Yeye. Basi je! Nyinyi ni Waislamu? (Huud : 13-14)
Akasema tena Allah mtukufu.
23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. (al-Baqarah : 23)
Huu ushahidi wa kwanza....
Naendelea ....
kwanini umtishie mtu asie amini katika mungu kuwa na jihannam ilihali hyo jihnamu akuna alieithibisha????? wengi mna amini katka sababu ya hofu ya jihannamu akipatikana mtu hana iyo hofu inaonekana shetaniIbilisi mtoto wa shetani, Endelelea tu kumpoteza ndugu yako, mtakutana pamoja Fii naari jahannam, mtakua kuni za motoni.,.
Ushahidi huu apa chini....wakati ukisubiri uthibitisho kua aliesema yale maneno ni SNDANGUNJA(ambao najua haupo zaidi ya simulizi za Scars ,ww tupe ushahidi wa QUR AN ni maneno ya MUNGU/Mwenyezi Mungu.
natanguliza shukrani.
Unaanzaje kumkosoa mtu kuonesha hayuko sahihi kwa kujitanabaisha kwamba wewe ndio uko sahihi kwa kitu ambacho umekiri kua haukijui maana yake?Mtindo wangu na wake haufanani sababu mimi naongelea uhalisia yeye analeta utoto ambao nafsi yake inashuhudia na inajulikana wazi na ndiyo maana maswali hajibu.
Nilichokuwa nakifanya kwake ni kuonyesha ujinga wake ulipo na ndiyo maana nikamwambia kazi yangu nimemaliza na hivi ndivyo nilivyo mimi.
Narudi katika swali lako.
kwanza sio kweli kua hujajibiwa hilo swaliUshahidi huu apa chini....
Je, ww unaweza kuniambia Qur'an ni maandiko ya nani ?.... wenzako mpaka leo wameshindwa kunijibu
kabla ya yote unathibitisha vipi kua hizo ni nukuu za Allah na sio kwamba ni mtu tu kaandika kua "Allah mtukufu akasema"Kwanza kabisa swali hili halikuanza leo kwani Mtume zama zake walio dhidi yake walikuwa wanamtaka ushahidi juu ya ukweli wa kile anachokisema,wakawa wanamuita kwa majina mengi mara mchawi mara mwenda wazimu,mara mzushi na yasiyokuwa hayo. Allah akawapa kazi (Challange) watu hao,akasema :
88. Sema: Wangeli kusanyika watu na majini ili walete mfano wa hii Qur'ani basi hawaleti mfano wake, hata wakisaidiana wao kwa wao.(al-Israa : 88)
Lakini haikuishia hapo akasema tena Allah mtukufu.
13. Au wanasema: Ameizua? Sema: Basi leteni Sura kumi zilizo zuliwa mfano wa hii, na waiteni muwawezao badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.
14. Na wasipo kuitikieni, basi jueni ya kwamba (hii Qur'ani) imeteremshwa kwa ujuzi wa Mwenyezi Mungu, na kwamba hapana mungu ila Yeye. Basi je! Nyinyi ni Waislamu? (Huud : 13-14)
Akasema tena Allah mtukufu.
23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. (al-Baqarah : 23)
Huu ushahidi wa kwanza....
Naendelea ....
Umeelewa kilicho andikwa hapo ?Endelea ila mpaka hapo sijaona ushahidi, zaidi naona "fasihi simulizi" na mapokeo, na unatumia reference ya kitabu nnachohoji authentication yake.
kwanini umtishie mtu asie amini katika mungu kuwa na jihannam ilihali hyo jihnamu akuna alieithibisha????? wengi mna amini katka sababu ya hofu ya jihannamu akipatikana mtu hana iyo hofu inaonekana shetani