Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwa mujibu wa uislamu umezungunzia mungu gani?Mungu Allah au Mungu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa uislamu umezungunzia mungu gani?Mungu Allah au Mungu gani?
Narudia tena kuwa uislamu umezungumzia Mungu Allah.Kwa mujibu wa uislamu umezungunzia mungu gani?
Kumbe unawajua vizuri, jamaa hawataki kuulizwa maswali wala uwachallange kivyovyote vile wao wanachotaka ni wao tu ndio wakupige maswali hata yakiwa ni maswali ya kijinga ila ukiwachalenji wao wanaanza kukutoa akili na kukuweka kwenye ignore list.Mkuu UHURU JR hao jamaa umewauliza maswali mpaka muda huu hawana majibu wanakimbia kujibu na wana mbinu yao ya kukujibu vibaya ili wakutoe kwenye focus ya mada. Hata mimi pale nilipotaka majibu sijapata mpaka muda huu.
Wataishia kukujibu vibaya, watajifanya kukuweka kwenye ignore list ili iwe kichaka cha uhalali kwao cha kujificha kutotoa majibu.
Nakushauri endelea kuhitaji majibu ya maswali unayowauliza japo najua hawana majibu ndio maana wanazunguka zunguka.
Wao wanauliza maswali wanapewa majibu, wakiulizwa wao maswali hawana majibu wanatumia mbinu ya kupindua hoja na kukupa maneno hasi yenye lengo la kukutoa kwenye focus ili wajifiche wasiweze kutoa majibu.
Sasa ulivyokua unauliza mungu gani ulikua una maanisha nini?Narudia tena kuwa umezungumzia Mungu Allah.
Sasa ulivyokua unauliza mungu gani ulikua una maanisha nini?
Anyway
Kwa mujibu wa hicho chanzo kilichomzungumzia mungu allah, kilimfafanuaje allah?
Mimi nimeuliza kwa muktadha wa kiislamu, kama uislamu una series za miungu mingi its okay kunipa maana zaoKuna aina nyingi ya miungu na wewe hukusema Mungu gani hivyo nilikuwa sawa kukuuliza hivyo.
Ok kwahiyo unataka tumjadili Mungu Allah,si ndivyo?
nafikiri baada ya kuwa anaabudu sanamu, alilalamika akaambiwa siyo kuabudu ila ni kuiheshimu, akauliza kuna tofauti gani kati ya kuabudu na kuheshimu? wanazuoni wakakosa jibu.Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.
Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters
My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
Mshana Jr
Ok una maanisha unataka kujua sifa za Mungu Allah?Mimi nimeuliza kwa muktadha wa kiislamu, kama uislamu una series za miungu mingi its okay kunipa maana zao
Kwa mujibu wa hicho chanzo kilichomzungumzia mungu allah, kilimfafanuaje allah?
Maana ya mungu (allah) jinsi ilivyo elezewa kwa mujibu wa uislamuOk una maanisha unataka kujua sifa za Mungu Allah?
Kila jamii au imani hueleza kuhusu Mungu, kwahiyo ukiniambia nikueleze maana ya Mungu kwa mujibu wa uislamu maana nitaeleza kuhusu Allah.Maana ya mungu (allah) jinsi ilivyo elezewa kwa mujibu wa uislamu
Kila jamii au imani hueleza kuhusu Mungu, kwahiyo ukiniambia nikueleze maana ya Mungu kwa mujibu wa uislamu maana nitaeleza kuhusu Allah.
We hujaonesha hata nafuu umeshindwa hata kujibu hojaMkuu UHURU JR hao jamaa umewauliza maswali mpaka muda huu hawana majibu wanakimbia kujibu na wana mbinu yao ya kukujibu vibaya ili wakutoe kwenye focus ya mada. Hata mimi pale nilipotaka majibu sijapata mpaka muda huu.
Wataishia kukujibu vibaya, watajifanya kukuweka kwenye ignore list ili iwe kichaka cha uhalali kwao cha kujificha kutotoa majibu.
Nakushauri endelea kuhitaji majibu ya maswali unayowauliza japo najua hawana majibu ndio maana wanazunguka zunguka.
Wao wanauliza maswali wanapewa majibu, wakiulizwa wao maswali hawana majibu wanatumia mbinu ya kupindua hoja na kukupa maneno hasi yenye lengo la kukutoa kwenye focus ili wajifiche wasiweze kutoa majibu.
Hakuna kitu kiitwacho Mungu,ndiyo maana hamuwezi hata kuthibitisha uwepo wake.kuna mmepinda,yaani unamuita Mungu msanii?
Ukisoma sana elimu dunia ni rahisi kuamini Mungu hayupo ndio maana waislam wanakazania madrasa kuliko skuli wanajua,ulichoaminishwa ni uwezo wa Mungu wanasayansi wanakifanyaAsilimia90 ya atheists ni wakatoliki
Mimi nimeuliza kwa muktadha wa kiisamu jinsi ulivyomuelezea mungu (so called allah), we unakuja kuniambia habari za jamii au imani, habari hizo zinaingiaje kwenye swali langu linalohusu uislamu?
Uislamu una jamii ngapi?
Kwa mujibu wa uislamu ambao umuedai unam refer mungu kwa jina la allah, uislamu umemfafanua mungu (allah) kwa tafsiri gani?
hawa ndo binadamu baada ya kupewa pumzi wanamkufuru muumba wao watakavyoHakuna kitu kiitwacho Mungu,ndiyo maana hamuwezi hata kuthibitisha uwepo wake.
huyu ni atheist hawezi akaamini unaloweza kumuelezea ila siku yenu nyie ni moja tuuLabda utakuwa huelewi unachokiuliza kijana, nimekwambia kuwa Uislamu umemuelezea Allah ambaye uislamu humtambua kuwa ndio Mungu. Kwahiyo ukiniambia nimuelezee Mungu kwa mujibu wa uislamu maana yake moja kwa moja tunakuwa tunamuelezea Allah na si vinginevyo.
Uislamu umem-define vipi Allah?Labda utakuwa huelewi unachokiuliza kijana, nimekwambia kuwa Uislamu umemuelezea Allah ambaye uislamu humtambua kuwa ndio Mungu. Kwahiyo ukiniambia nimuelezee Mungu kwa mujibu wa uislamu maana yake moja kwa moja tunakuwa tunamuelezea Allah na si vinginevyo.
Unajua hata nikikuuliza hapo kwanini watu wanaamini Mungu?najua hutoweza kunijibu halafu ajabu unahusisha kusoma sana na kutoamini uwepo wa Mungu kana kwamba katika dunia hii waliyosoma sana ni atheists tu au kwamba wanasayansi wote ni wakanaji uwepo wa Mungu.Ukisoma sana elimu dunia ni rahisi kuamini Mungu hayupo ndio maana waislam wanakazania madrasa kuliko skuli wanajua,ulichoaminishwa ni uwezo wa Mungu wanasayansi wanakifanya