Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.God exist
Atheists ni watu ambao bado wapo katika hatua za Kati za ukuaji wa ufahamu.
Kitu Ambacho hakipo ni dini but not God
Mosi, kutokupata ufafanuzi unaohitaji au majibu ya maswali unayotaka hakuhalalishi kutokuwepo kwa Mungu. Pili, hakuna mahali umeniuliza swali, labda kama ndo unauliza sasa.Hapana,
Unachanganya mambo.
Inawezekana kujua origin ya watu kunanitoa jasho kwa sababu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwapo, angempa kila mtu jibu la kila swali analolipata.
Angekuwapo, kwa sifa zake hizo, kusingekuwa na swali lolote ambalo watu wanajiuliza na kukosa jibu lake.
Nimekuuliza, unajua Epicurean Paradox ni nini?
Hujajibu.
Kwa nini hujajibu?
Acha kuhusisha Atheists na Agnostics.Upo Sahihi kwenye Atheists kuwa wapo daraja ya kati maana kuna madaraja 3 ...mawili yanayo sema mungu yupo na moja linalo kanusha .....kati ya hayo madaraja lililo la wapumbavu kabisa ni mojawapo ya hayo mawili yanayo sema mungu yupo...na daraja la Atheists ni lenye watu wenye akili akili siyo wapumbavu kivileee ila lipo daraja la watu wenye akili kamili na timamu katika kupambanua mambo nalo linasama MUNGU YUPO NA AIWEZEKANI KUWE HAKUNA MUNGU
Kutokupata ufafanuzi gani ninaohitaji?Mosi, kutokupata ufafanuzi unaohitaji au majibu ya maswali unayotaka hakuhalalishi kutokuwepo kwa Mungu. Pili, hakuna mahali umeniuliza swali, labda kama ndo unauliza sasa.
Wote hao kundi lao ni la 2Acha kuhusisha Atheists na Agnostics.
Atheists hatuna imani ya aina yeyote ile ya Mungu au miungu.
Hatuamini habari za Mungu, miungu, Shetani, majini, mapepo, mizimu, uchawi, ushirikina, uganga.
Hebu nenda kajifunze kwanza.Wote hao kundi lao ni la 2
Unajua kundi la pili ni nini ?Hebu nenda kajifunze kwanza.
Usiongee vitu bila uelewa.
Katafute definition ya Atheist na Agnostic.
Usianze kuniuliza kwamba najuaUnajua kundi la pili ni nini ?
Kwahiyo huamini kama Waganga wapo au huamini nguvu za kiganga?Acha kuhusisha Atheists na Agnostics.
Atheists hatuna imani ya aina yeyote ile ya Mungu au miungu.
Hatuamini habari za Mungu, miungu, Shetani, majini, mapepo, mizimu, uchawi, ushirikina, uganga.
Allah au Mungu Yesu?Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.
Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu tuendelee na mjadala huwa mnapungukiwa kitu?
Huyu Bush Dokta Kaja kwa kasi sana kwenye kupinga uwepo wa Mungu.Ninaomba mwe mnatuchie mjadala sisi tunao amini uwepo wa Mungu asee huwa mnatuvuruga sana maana mnajua wazi majibu hatuna hivi ni vitu vya Imani sasa imani utaithibitisha vipi? Ni sawa na kuambiwa nenda kaniletee upepo.
RAMADHAN KAREEM
Hizi AI ukienda youtube kila mtu anavutia kwake. Ni maajabu mtu wa kaliba yako kuandika hiki mkuuWajulishe kuwa hata AI Chatgpt amesilimu.
Mimi siamini kwenye kuamini.Kwahiyo huamini kama Waganga wapo au huamini nguvu za kiganga?
Ulithibitisha vipi kuwa habari za M#Ngu ni za uongo ?Kazi ya kupinga uwepo wa Mungu ni kazi endelevu.
Kila siku wanazaliwa watoto wapya wanapewa mafundisho ya uongo kwamba Mungu yupo.
Sasa tutaridhika vipi tukae kimya ikiwa uongo huu unafundishwa kila siku?
Ulishaona makanisa yanaridhika yanasema tusifundishe tena watu habari za uongo huu wa kuwapo Mungu?
Ulishaona misikiti inaridhika na kusema sasa tumeridhika kusema habari za uongo kwamba Mungu yupo?
Sasa kama hawa wasema uongo wa makanisani na misikitini na wengine wengi kama wao hawaridhiki kusema uongo, unapata wapi uhalali wa kutuambia sisi tunaonyoosha mambo na kuhoji uongo huo turidhike?
Jibu hoja, acha kushambulia watoa hoja.
Kushambulia mtoa hoja badala ya kujibu hoja ni logical fallacy.
Ni tabia ya watu wasio na hoja.
Ni ad hominem logical fallacy.
Unajua logical fallacy ni nini?
Mbona ni kama unaogopa sasa mkuuHawana ukweli wowote
Kwa Epicurean Paradox, the problem of evil, proof by contradiction, logical consistency na mutual exclusivity unaweza kuthibitisha kuwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, ni wa hadithi za watu tu.Ulithibitisha vipi kuwa habari za M#Ngu ni za uongo ?
Nikundi moja kwa logic yangu niliyo changanua hapo ...wewe ujaelewa nilicho changanuaUsianze kuniuliza kwamba najua
Nenda kajielimishe kwanza.
Wewe umeshindwa hata kutofautisha Atheist na Agnostic.
Unasema wote hawa ni kundi moja.
Inaonekana hata hujui unacho kisema.
Sasa mbona mnaleta comedy jamani! Hapa niko peke yangu nimecheka hadi nauliza unachekea nini.Deepseek la mchina nimeliongoza sala ya toba likampokea yesu... Now limeokoka 🤣🤣
Agnostic haamini kwamba Mungu yupo au hayupo. Anaamini inawezekana Mungu akawepo au asiwepo.Nikundi moja kwa logic yangu niliyo changanua hapo ...wewe ujaelewa nilicho changanua
Nadhani hawajiamini na msimamo wao hivyo pengine hutumia haya mabishano kupinga uwepo wa Mungu ili kujifariji, maana kwenye atheism hakuna majibu ya maswali waliyokuwa wakijiuliza kutokea kwenye dini.Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.
Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu tuendelee na mjadala huwa mnapungukiwa kitu?
Huyu Bush Dokta Kaja kwa kasi sana kwenye kupinga uwepo wa Mungu.Ninaomba mwe mnatuchie mjadala sisi tunao amini uwepo wa Mungu asee huwa mnatuvuruga sana maana mnajua wazi majibu hatuna hivi ni vitu vya Imani sasa imani utaithibitisha vipi? Ni sawa na kuambiwa nenda kaniletee upepo.
RAMADHAN KAREEM