Kiroho zaidi: Rais ajaye baada ya Mama Samia,atakuwa mwanamke pia

Uliyoyaandika yangekuwa kweli Mungu asingeshindwa na watu mwaka 2015! Aidha, fahamu kuwa sauti ya wengi si sauti ya Mungu, ni ya watu. Mungu hafuati sauti ya wengi, bali watu wengi hupaswa kufuata sauti yake.

Hata hivyo, watu wachache sana hufuata sauti ya Mungu maana wengi huenda upotevuni, hupotoka kwa kufuata mawazo yao, nia zao na tamaa zao! Na ukumbuke kuwa kura ndiyo inayoamua nani awe mshindi, si Mungu! Mithali 18:18

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Sijasoma mpaka mwisho ila kwa ufupi mm naishi mpakani tukipata Rais mwingine wa kike nahamia Uganda na nitafia huko!!
 
Yaani Jokate ndo aje awe Rais?Duh..

Ama kweli kuna watu mna maruweruwe
Kwani nani angeamini kuwa Samia angekua rais?
Kila mtu ana haki ya kugombea urais ili mradi atimize vigezo.
Jokate ni kiongozi bora kabisa tukiacha ujana na mapito yake, lakini akiendelea hivi atakuwa mwanasiasa mkubwa tu wa kuheshimiwa
 
Kwani nani angeamini kuwa Samia angekua rais?
Kila mtu ana haki ya kugombea urais ili mradi atimize vigezo.
Jokate ni kiongozi bora kabisa tukiacha ujana na mapito yake, lakini akiendelea hivi atakuwa mwanasiasa mkubwa tu wa kuheshimiwa

I wonder kama na mchumba au ana hata wazo la kuoleka
 
Umekuwa kama shehe yahya hussein, alimtabiria mama Samia mwaka 2006 bila yeye mama kujijua.
 
umetumwa
 
Ikulu miaka nenda huwa ni danguro au wewe ni wa 90''s
Tofautisha danguro na gheto.danguro linamilikiwa na mademu,gheto ni la masela,ikulu miaka yote imekuwa gheto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…