Kiroho zaidi: Rais ajaye baada ya Mama Samia,atakuwa mwanamke pia

Unatumia kilevi gani?
 
Mungu alitaka Adam na Hawa waishi Eden milele.

Sasa hivi wewe upo Eden? What happened ? FYI Mungu ametupa binadamu jurisdiction ya kufanya maamuzi yetu wenyewe. Hili ni agano takatifu . Mungu ni Mungu mwenye kuheshimu maagano. Yes mpango wake ilikuwa Rais awe mwanamke na alitoa ishara nilizo zitaja, bahati mbaya wahusika hawakuweza kuelewa na kutafsiri vizuri ishara za Mungu, Mungu akawaacha wafanye walicho kitaka, lakini kwa kuwa lengo lake lilikuwa kiti kikaliwe na mwanamke,. Yeye mwenyewe akaamua kumuweka mwanamke kwenye kiti hicho.

Usicho kifahamu, Tanzania ni Taifa Takatifu la Mungu. Mlima wa Mashariki ( Kilimanjaro ) una mambo ambayo nikikutajia hapa utatamani kwenda ku usujudu..
 
We jamaa ni ovyo kabisa, halafu usitake mawazo yako yawe ndo mipango ya Mungu, Mungu hashindwi na angetaka 2015 rais awe mwanamke hakuna ambaye angeweza kuzuia....Mipango ya Mungu haizuiliki,
Usimzungumzie Mungu kama unamzungumzia mtu.
 
Hivi kuna binadamu anaweza kubadilisha mpango wa Mungu? Yaani Mungu awe amepanga rais awe mwanamke ila binadamu ambao pia wapo chini ya utawala wake na amri zake wakamshinda Mungu na kumuweka rais Mwanaume?

Akipangacho Mungu,binadamu hawezi kukipangua.
 
Haiwezekan tena Boss,
Mwanamke ataongoza tena miaka ,50 ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…