PreGE2025 Kishindo cha Awamu ya Sita: Miaka Minne ya Rais Samia, Huduma za jamii zimeenea kila pembe ya nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unataka kutuaminisha wanatekwa, kuuwawa na kufirwa watu kwa amri ya maza?
watu mko huru kuishauri serikali lakini kwa namna aliyotumia gwaji boy hairuhusiwi,na kwa sisi wataalamu wa sheria tunasema kesi ya uchochezi.
 
 

Attachments

  • c056daa87cf1efedcef0f645266ec170_1749629076802.mp4
    4.4 MB
mkuu,hata ktk mataifa makubwa matukio ya kutatanisha kama hayo hutokea. Hata kipindi cha mwenda zake matukio kama haya yalikuwepo. Hutokea na ni jambo la kawaida.
Jambo la kawaida? Roho ya utu imewaondokea CCM.
 
huo utekaji unaufahamu wewe mkuu,ninachokifahamu ni mafanikio ya miaka minne ya rais samia katk upatikanaji wa huduma za jamii.
sawa mkuu nadhani kila mtu ana engle yake ameona na maeneo yake lkn mimi binafsi sijaona cha maana maana huko kwetu Donyo lengai hata hizo huduma hatujaona kabisaa hata tuu barabaraaa hakuna sijui wewe umepima maeneo gani Kaka
 
safi sana mkuu!
Safi sana kwa lipi? Darasa kama hilo na madawati yake linalofanana kidogo na darasa langu la kwanza DWT Kibondo mwaka 1968 ndio leo miaka 57 baadaye mtu unakuja kusifia kuwa kuna maendeleo ukilinganisha na pesa ya walipakodi inayoteketea kwa anasa? 😳 Tunaendelea mbele au tunadumaa kwa utapia mlo?
 
watu mko huru kuishauri serikali lakini kwa namna aliyotumia gwaji boy hairuhusiwi,na kwa sisi wataalamu wa sheria tunasema kesi ya uchochezi.

Watekaji, wauwaji, na wafiraji wa watu haiwezi kuwa sera ya serikali yoyote halali duniani.

Kwamba una maana maza anasimama na watu hao dhidi ya Gwajima anayemkingia kifua mama kuwa hahusiki?



Inaacha maswali mwngi kuliko majibu.

Hakuna rais yeyote duniani angeacha kumwunga mkono Gwajima kwenye hoja hii!
 
Haya matapeli Huwa hawakosi wafuasi wajinga. Ndo kama hivi sasa
 
Huduma gani wakati Mbezi Msumi tu hapa Dar es Salaam hamna maji safi na salama ya Bomba

Shule ya Msingi mbezi ni kama gofu.

Barabara ya Msakuzi ipo vipande vipande.
 
Sipingi jitihhada za SERIKALI kuleta maendeleo tangu uhuru.
Ila Sasa umri wa nchi yetu na maendeleo yake ni kama nchi ime BEMENDWA KWA MUDA MREFU.

MAENDELEO HAYA COLLILATE NA UMRI WAKE INASHANGAZA BAADA YA MIAKA 60 NA USHEHE STILL TUNAZUNGUMZIA SHIDA ZA MAJI SAFI NA SALAMA?? STILL BAADA YA MIAKA 60 NA USHEHE WATU WANA SHIDA ZA MAJI ? TUMEPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI ☺️

AT LEAST KWA SASA TUMEPATA MKOMBOZI SI MWINGINE NI Dennis Robert Shughuru nyuzi na MAANDIKO yake yameonyesha uwezo mkubwa Sana na ukomavu wa fikra na ki utendaji.

Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa Dennis Roberts shughuri ameonyesha Nia njema na ame kua na Nia, ndoto za kama ma founder wa nchi mbali mbali kama V.I . LENIN, kina Abraham Lincoln kina mao Zedong, kina Otto von Bismarck, kina aldof Hitler e.t.c ambao waliweza kuweka misingi ya maendeleo tunayo yaona nchi za ulimwengu wa kwanza
 
Sasa kwNini hamtaki uchaguzi huru?!
 
NO REFORMS, NO ELECTION
 
tuko awamu ya tano, sio ya sita. usipotoshe
 
watanzania hamjawahi kukubali wala kukaribia kukubali juhudi binafsi za rais yeyote katika nchi hii.
Unajua maana ya mafanikio ya jumla? Unaufahamu halisi wa ukubwa wa nchi hii? Madarasa hayo yamejengwa na rais samia kote nchini,umeme,maji,huduma za afya zimepelekwa maeneo ya ndanindani kabisa ambapo haukuwa ukiamini hakutapelekwa huduma hizo. Tembea uone mkuu kuliko kukaa kwenye ofsi unaimba utekaji tu.
Pengine huduma hizo ndugu zako na hata mwenyewe unazitumia na hata simu yako hiyo umechaji kwa umeme wa rais wetu baada ya kuijaza chaji unakimbilia mtandaoni kuikosoa serikali. AMKA KUTOKA USINGIZINI MKUU.
 
amani haipimwi kwa mauaji ya mtu mmoja mmoja mkuu! Asilimia zaidi ya 99.99 nchi iko safe kwa uhai wa watu, hao wanaotekwa kuuwawa na kupotezwa ni wale wanaoenda kinyume na mamlaka ya dunia! Kifo ni kifo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…