PreGE2025 Kishindo cha Awamu ya Sita: Miaka Minne ya Rais Samia, Huduma za jamii zimeenea kila pembe ya nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Awamu ya sita uchaguzi tumefanya lini?
 
Magufuli ndio kafanya
Em punguza kelekele, unajua maana ya huduma za jamii?

Kijijini umefika wewe ukaona umeme na maji? Mashule unayajua? Punguza unafiki na uongo
 
Nipewe habari saa na michezo maana katika masuala ya Miche na burudani nimeiva haswa!

Ngonjera za Simba na yanga hamtazisikia tena endpo napata hiyo nafasi.
Ngoja tumpambanie RAIS wetu ajaye mtarajiwa naimani tutafanikisha😁
 
Huyu mama nikipewa naye mtihani wa hisabati darasa la 7 mie nitafaulu yeye atafeli!!

Ukiacha uchawa na njaa, mama hatoshi kwenye urais wa nchi ..labda unaibu waziri utamaduni sanaa na michezo tuu
 
Nipewe habari saa na michezo maana katika masuala ya Miche na burudani nimeiva haswa!

Ngonjera za Simba na yanga hamtazisikia tena endpo napata hiyo nafasi.
kampeni sasa zimeanza. Watanzania mna uchu wa vyeo na madaraka badala ya kuwa na uchu wa kuwatumikia wananchi.
 
Hiyo midaharo mtafanyia chumbani uvunguni kwa kitanda ama?

Last time I checked hata Kitanda pia ni jukwaa, tena Jukwaa huru.
 
Magufuli ndio kafanya

Em punguza kelekele, unajua maana ya huduma za jamii?

Kijijini umefika wewe ukaona umeme na maji? Mashule unayajua? Punguza unafiki na uongo
nimeyaleta haya nikiwa na uhakika kwa 100% kuwa ni kweli, na kwa uchungu mkubwa katika kuwatumikia wananchi rais wangu amejenga hosptali ya wilaya kijijini tena mapolini kilometa kama 30 kutoka mjini,na hata watumishi wa halmashauri,mkuu wa wilaya yangu,mkurugenzi na wengine wapo kijijini.
Kwa nini nisimsifie mama samiah?
 
Samia ni zawadi ya kipekee, mitano tena atufanyie miujiza mikubwa sana
 
nakuhakikishieni rais samia ni rais shupavu na mwenye uthubutu! Tembea kote nchini, tembelea shule za msingi na sekondari, utakutana na majengo mapya,maabara,maktaba na mabweni ya wanafunzi. Katika wilaya yangu sina cha kumdai president wangu.
Ubarikiwe kwa kusema ukweli
 
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado kuna watoto wanakaa chini, madarasa hayana madawati, af IGP analamba zaidi ya 1.5B, watu wanatekwa na kuuwawa Serikali ipo kimya, mnatuambia nini nyie? Kajipigieni kura nyie wenyewe, sisi tunachotaka ni Tanganyika yetu
Nje ya hoja, hoja ni mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi wa miaka 4
 
We pimbi wa UVCCM kuenea ni moja kufanya kazi ni mbili na ufanisi ni tatu.

Tatizo uchawa umezidi mno maana hata huko kwenye huduma za kijamii hakuna watumishi wala vitendea kazi.
 
nakuhakikishieni rais samia ni rais shupavu na mwenye uthubutu! Tembea kote nchini, tembelea shule za msingi na sekondari, utakutana na majengo mapya,maabara,maktaba na mabweni ya wanafunzi. Katika wilaya yangu sina cha kumdai president wangu.
Hakuna kitu huko kote labla huko kizimkazi .....mashuleni hakuna watumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…