Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo .
Kabla ya kuanza operesheni ya KATIBA MPYA vijana hao wamefika kijiji cha MSIMBA kwa lengo la kuwasalimia na kuwajulia hali Bi Eva Mpurumba na Bw Obadia Gwanda ambao ni wazazi wa AZORY GWANDA aliyepotezwa nchini Tanzania tangu 2017 , Azory alikuwa Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi aliyekuwa anafuatilia habari za mauaji ya Kibiti .
Kwa niaba ya Watanzania wazalendo nachukua nafasi hii kuipongeza BAVICHA kwa moyo wa kibinadamu na kuwaamua kuwatembelea wazee hawa ambao sasa umri umewatupa mkono sana .
Mungu ibariki Bavicha .