Kishindo cha BAVICHA chatikisa Kigoma, wawatembelea Wazazi wa Azory Gwanda

Samahani mkuu hivi wewe chadema una cheo chochote maana unajitolea sana kutupa habari za chadema au mapenzi tu.
Huku Chadema ni kujitoa kwa moyo. Huku wachumia tumbo hawamalizi mwaka panawashinda.

Ni Commitment, work and determination tu
 
Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo .

Kabla ya kuanza operesheni ya KATIBA MPYA vijana hao wamefika kijiji cha MSIMBA kwa lengo la kuwasalimia na kuwajulia hali Bi Eva Mpurumba na Bw Obadia Gwanda ambao ni wazazi wa AZORY GWANDA aliyepotezwa nchini Tanzania tangu 2017 , Azory alikuwa Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi aliyekuwa anafuatilia habari za mauaji ya Kibiti .

Kwa niaba ya Watanzania wazalendo nachukua nafasi hii kuipongeza BAVICHA kwa moyo wa kibinadamu na kuwaamua kuwatembelea wazee hawa ambao sasa umri umewatupa mkono sana .

Mungu ibariki Bavicha .

View attachment 2106453

View attachment 2106602
Dikteta bora alikufa asee, unatesaje wazee kama hawa hata nyumba hawana?
 
Wakati Azory Gwanda anapotea kwa amri ya waziri wa policcm na watu wasiojulikana al maalufu kama vikosi (maalum kwa kazi maalum)
Mheshimiwa Mwigulu..
Kipindi ambacho kuvua samaki na maiti za watu Baharini kawaida kabisa..

Wale wa Kibiti waliuliwa na nani.
 
Nastaajabu bado mama ameamuwa kwenda na huyu jamaa ambaye anahusika kabisa na unyama uliofanyika wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani yeye ndiye aliyeamuwa kwamba waliokuwa wakiokotwa wazikwe hapo hapo bila ya uchunguzi lakini mama kama bado unam'gangania ujuwe unajiharibia.

Una uhakika? Kama unao tukutane kisutu. Gharama za kesi Ntalipia. Leta na Wale waliohusika na mauaji ya KIBITI na hapa watu waropokaji kama nyie mlikuwa mnashangalia. Upanga ukatao kuwili.
 
Dikteta bora alikufa asee, unatesaje wazee kama hawa hata nyumba hawana?
Usimsingizie Magufuli kwanza hata ushahidi huna! Mda mwingine muwe na subra! Biblia inasema wanaangamia kwa upumbavu wao! Pia neno linasema heshimu mamlaka! Huyo muha ujuaji mwingi mbele giza! Halafu ametokea familia masikini na kuwaacha wazazi wako wakiteseka kwa ujinga na upumbavu!
 
Nadhani wewe utakuwa na laana haswa, kwenye post yangu kuna neno Magufuli?
 
Una uhakika? Kama unao tukutane kisutu. Gharama za kesi Ntalipia. Leta na Wale waliohusika na mauaji ya KIBITI na hapa watu waropokaji kama nyie mlikuwa mnashangalia. Upanga ukatao kuwili.
Akili yako haina akili.
 
Nadhani wewe utakuwa na laana haswa, kwenye post yangu kuna neno Magufuli?
Wewe pimbi na ID zako feki tunakujua sana tu! Sasa kama Gwanda alijua kabisa familia yake yeye ndo tegemeo alijiingizaje kwenye issue za kijinga na mambo ya kibiti! Familia kama ilivyoona hali ni mbaya ndo maana tunawaambia!
 
Nastaajabu bado mama ameamuwa kwenda na huyu jamaa ambaye anahusika kabisa na unyama uliofanyika wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani yeye ndiye aliyeamuwa kwamba waliokuwa wakiokotwa wazikwe hapo hapo bila ya uchunguzi lakini mama kama bado unam'gangania ujuwe unajiharibia.
Yule jamaa ni mtu mkubwa hakwepeki. Hata jpm alimtoa akamrudisha tena
 
Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo .

Kabla ya kuanza operesheni ya KATIBA MPYA vijana hao wamefika kijiji cha MSIMBA kwa lengo la kuwasalimia na kuwajulia hali Bi Eva Mpurumba na Bw Obadia Gwanda ambao ni wazazi wa AZORY GWANDA aliyepotezwa nchini Tanzania tangu 2017 , Azory alikuwa Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi aliyekuwa anafuatilia habari za mauaji ya Kibiti .

Kwa niaba ya Watanzania wazalendo nachukua nafasi hii kuipongeza BAVICHA kwa moyo wa kibinadamu na kuwaamua kuwatembelea wazee hawa ambao sasa umri umewatupa mkono sana .

Mungu ibariki Bavicha .

View attachment 2106453

View attachment 2106602
Kazi nzuri!
 
Bora alitwaliwa mwendazake, apate adhabu kali sana huko aliko
 
Back
Top Bottom