Kishindo cha BAVICHA chatikisa Kigoma, wawatembelea Wazazi wa Azory Gwanda

Kishindo cha BAVICHA chatikisa Kigoma, wawatembelea Wazazi wa Azory Gwanda

Hiyo picha hapo chini mama akilia imenihuzunisha sana.
Hivi haya yanatokea nchi ambayo jeshi lipo,usalama wa taifa wapo na wanakaa kimyaa!!
Tujitafakari sana kwa kweli.
Wanajua si tunaambiwa wako kila mahali?
 
Wewe ni mpum.vu mkubwa.
Kuhabarisha ni ujuaji!!??
Kwa hiyo JF nayo ni "wajuaji" kwa kukupa nafasi ya kutiririka uzuzu wako hapa!!????
Mpuuzi ni wewe! Ujuaji usio na akili ni upumbavu tu! Huoni akina Zitto wajuaji sana vitendo sifuri! Njoo kigoma ukae ndo utawajua uchawa tu na kwenye mambo nyeti ya serkali!
 
JamiiForums-1526204764_720x720.jpg
 
Kama mlikuwa na misaada isinge ngojea siku hiyo mmewadhalilisha tu hao watu kwa mazingira ya picha!
Hakuna Cha msaada Wala Nini hao wanatafuta pakujioneashea tu.

Kama Kweli wameumizwa nakupotea kwa mtajwa hapo juu, nakuwaonea huruma hao wazee ,walitakiwa kujiweka kwenye nafasi ya mtoto anae mtemberea mzazi.

Sioni zawadi hapo.
Kumbuka huyo alie potea alikua akiwalea wazee wake kwa namna moja au nyingine.
Hii safari ilitakiea kuwa ya faraja kwa hao wazee kinyume chake imekua ya kuamsha machungu mazito.

Hii sio sawa. Usiniambie zawadi zimetolewa nyuma ya camera.

Haitotokea na haiji kutokea.

Povu rukhusa .
 
Bavicha wametulia wewe unalia !
 
Back
Top Bottom