Kishindo cha BAVICHA chatikisa Kigoma, wawatembelea Wazazi wa Azory Gwanda

Kumbe ni muha! Ujuaji mwingi mbele giza! Poleni sana wazazi!
 
Wakati Azory Gwanda anapotea kwa amri ya waziri wa policcm na watu wasiojulikana al maalufu kama vikosi (maalum kwa kazi maalum)
Mheshimiwa Mwigulu..
Kipindi ambacho kuvua samaki na maiti za watu Baharini kawaida kabisa..
Kuna jamaa yangu mmoja aliniambia Wagogo sio watu
Sasa natafakari ile kauli hadi leo
 

Hawa wazee nikiwaangalia hua nahuzunika sana dah Mungu awape nguvu kwakweli na Mungu awabariki wanaojitolea kuwatembelea
 
Wakati Azory Gwanda anapotea kwa amri ya waziri wa policcm na watu wasiojulikana al maalufu kama vikosi (maalum kwa kazi maalum)
Mheshimiwa Mwigulu..
Kipindi ambacho kuvua samaki na maiti za watu Baharini kawaida kabisa..
Nastaajabu bado mama ameamuwa kwenda na huyu jamaa ambaye anahusika kabisa na unyama uliofanyika wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani yeye ndiye aliyeamuwa kwamba waliokuwa wakiokotwa wazikwe hapo hapo bila ya uchunguzi lakini mama kama bado unam'gangania ujuwe unajiharibia.
 
Mungu alishaanza kufyeka pale juu jengo jeupe toka mwaka ule. Ataendekea kufyeka hadi kizizi cha mwisho. Ni suala la muda tu.
 
Hivi kwenye hilo kundi lao mnadhani kuna mwenye roho nzuri ?
 
Wazazi poleni,tunashukuru Mungu muuaji naye keshazikwa kwenye ngozi ya kondoo Chato
 
majembe yako kazini. Kazi na dawa. Mungu awabariki sana Bavicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…