Kishindo cha BAVICHA chatikisa Kigoma, wawatembelea Wazazi wa Azory Gwanda

Wakati Azory Gwanda anapotea kwa amri ya waziri wa policcm na watu wasiojulikana al maalufu kama vikosi (maalum kwa kazi maalum)
Mheshimiwa Mwigulu..
Kipindi ambacho kuvua samaki na maiti za watu Baharini kawaida kabisa..
Unapozungumza hivi kwa hili, vipi kuhusu masoko yanayoungua, hayo menyewe unayazungumziaje?
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Mawimbi ya KIDIMBWI HAYAWEZI gharikisha hata sebule
 
KILA mmoja anayo haki ya kuishi haikuwa sahihi kutoa uhai wa mwenzio kisa utofauti wa mtazamo
 
Mkuu, toa hoja acha tabia za kupandikiza ukabila! Kuna kabila lisilo ruhusiwa kushiriki maswala ya kitaifa au kukosa haki kwa kuwa ni kabila fulani?
 
Hiyo picha hapo chini mama akilia imenihuzunisha sana.
Hivi haya yanatokea nchi ambayo jeshi lipo,usalama wa taifa wapo na wanakaa kimyaa!!
Tujitafakari sana kwa kweli.
 
Kigoma " imetikisika". Duh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…