Uchaguzi 2020 Kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Zanzibar, Maandalizi ya ujio wake usipime

Kama vile Hai ilivyo kua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana bahat alienda na Mabasi ya watu walio mshindikiza angekua peke yake angepata bonge LA aibu
 
Huh,
Hongera zake.
 
Umeumia eeeeh? Mwaka huu na babu sura kama ugoko mpaka mjambe cheche!
 
Mara nyingi tunakosa umakini katika kuwaza, kunena na/au kuandika. Ni vema tuwasahihishe waandike saa 7 mchana au adhuhuri. Busara iwaongoze kukiri hadharani kufanya makosa ya kiuandishi, kuomba radhi na kurekebisha mara moja. Katika hali ya ushindani mkubwa kosa dogo laweza kugharimu goli!
Saa 7 ni asubuhi??
 
Zanzibar na Chadema Wapi na Wapi.....CUF imekufa Wameamka Na ACT....endeleeni tu kuwakilishwa na Salum Mwalimu Pande Hizooo......

Ushawishi Wenu TU Mdogo Huku Bara..Leo Ijekuwa Zenji ????

Oktoba Itakuwa Ngumu Sana Kwenu Wazee WA TAMTHILIA na VISINGIZIO Kibwena....

Naendelea KUFIKIRI Yaani Mwizi Aende Akatukio HALAFU AANGUSHE KITAMBULISHO CHAKE......?!!!!!!!!!

Setup ya KISIASA mlioipiga Pale HAI Ni ya kiwango kikubwa........wazee Wa MATUKIO NA VISINGIZIO...
 
ITAPENDEZA KAMA BANGO LITAANDIKWA SAA 07:00 MCHANA AU ADHUHURI KAMA WALIAZIMIA KUANDIKA KWA KISWAHILI
 
See 7:Asubuhi. Chadema hamko serious au kuna hujuma. Ndiyo maana nasema CCM ni makini
 
"Nitapiga Mashangazi wenu" J.P Magufuli katika ziara zake za kuzulumuKorosho huko mikoa ya Kusini
 
Shambulizi la ofisi liliharibu kila kitu
Thats not the reason niliexpect many people wangeenda kuangalia na hilo la ofisi ila kwakweli ni watu wachache sana wale mostly toyo ndo zilikuwa nyomi...
Miaka ya nyuma any event ya chadema hata mkutano wa lema tu mwenyewe watu walikuwa wanatoka sehemu mbalimbali wanaenda kwa wingi sana.. na hii ni dalili mbaya kwa lema tuongee ukweli sio ushabiki i was born in arusha na im still dwelling down here pia..
Mwamba anachuja kwa spidi sana.. yani ule mvuto unapungua
 
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa mkono wa chuma, hizo elfu saba saba mnazolipwa ili kujenga taswira ya mkulu kukubalika ni kwaajili ya njaa ya muda mfupi tu. Mwalimu Nyerere aliwaita viongozi wa namna hii washenzi na wendawazimu, hebu tumuheshimu na kumuenzi Mwalimu kwa kuachana na watawala wanaotumia mabavu badala ya hekima na busara.

Tusihadaike na utapeli na ulaghai mpya wa CCM, Saa ya ukombozi ni sasa
 
Hapa unalia au unalalamika ?
 
Maneno Kuntu !
 
We umeona hapo tu!
Na wewe nimeona wapi? Very serious typing error ambayo itapoteza wafuasi wenu. Ninaamini mtakuwa mmeshabadilisha. Hapo haieleweki ni saa 1 asubuhi au saa 7 mchana maana lugha ya tangazo lenu ni Kiswahili. Ninaamini ni hujuma siyo siri. Huko Chadema kuna watu wenu hawataki Lisu kama Lema na kambi yake. Ndiyo maana hata uratibu wa mapokezi yenu Arusha ulikuwa wa Baridi. Tutawashindeni asubuhi na mapema maana nyie umoja namna.
 
KARIBU UWANJA WA UHURU HAPA TUNACHECHEA KODI ZA WANANCHI WANYONGE TUPATE PIA LIVE KWENYE TV ZETU ZA TBC NA CHN10
 

Kwa kuzingatia neno asubuhi, wewe utaamua kwenda saa 1 au saa 7? Basi tufanye wewe huamini kwenye makosa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…