Uchaguzi 2020 Kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Zanzibar, Maandalizi ya ujio wake usipime

Tunasubiri kuona. Hongera Molemo media. Wanaobeza mapokezi ya Arusha wamekabwa na donge la wivu kooni.
Kuna watu humu hatuna sides... Ila tutasema the real thing .. mimi nimezaliwa chuga and im still living here...
Miaka ya nyuma event za chadema watu walikuwa wanajitokeza kwa wingi sana nilitegemea shughuli kusimama jana lakin haikuwa hvyo muitikio ulikuwa mdogo mno... Ni dalili mbaya u have a task to do kumtafutia kura mgomvea wenu... Sio huku social media tuu na mostly jf...
Ingia fb hata kwenye page ya mnyika au lema watu wanaponda kinyama
 
Ahahahahahahahaha! Hayo ni maandalizi ya kumuaibisha Mgombea Mwenza Salumu Mwalimu. Mtu aliyekataliwa ubunge 2015 kwa fedheha licha ya kubebwa na CUF, leo eti Mgombea Mwenza? Ahahahahahahahah!!!
 
Kama babayenu atakavyoambulia 12% atakufa hapohapo maana lissu atamshughulikia kikamilifu
 
Namfananisha Lisu na mcheza mieleka King Puka,
 
Nyuzi zangu zinahamishwa sijui zinaenda wapi enyi mods achen kuwa kama miungu watu au jamaa
 
Siasa haziko rahisi hivyo Kama unsvyofikiri mkuu, Mpiga kura jina la mgombea wa kumpiga kura anatembea nalo mfukoni. Hata km anajua wewe hatakupigia kura lakini popote ukimualika ataenda.

Infact mpoga kura za uchaguzi mkuu Ni sawa na wajumbe tu
 
Lisu huwa anaigiza kuyafahamu matatizo ya Wazanzibari kuliko wenyewe wanavyoyafahamu.
 
unandika hivi kwa hisia zako au?
 
nimeipenda sana hiyooooo EX-CUF akiweza kuitoka hiyo kwel apo tunasema kakubalika lakini tofauti na hapo nikujipa moyo.
 
Lisu Arusha akipata mapokezi kiduchu sana! Huwezi amini kama kule ndio kitovu cha upinzani hasa chadema
Hiyo inashiria watu kuwachoka CHADEMA na siasa za kikorofu
Huku wakitumia hisia saaaaana mpaka shiriza la HUMAN RIGHT liwaone huruma. Sahivi nikuja na hoja za akili na zenye logic ndani yake
 
Mafsadi wa ccm wakiona posts za Lissu wanahisi uharisho unawashika, Lisu anafanya madikteta wa chato hawalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…