Hawa Watanzania waisilamu au wakristu ni wanachama wa chama gani? Mimi nilikuwa nafikiri vyama vinapigiwa kutokana na uanachama wa wafuasi wake ambao ndio wakeretwa wakubwa. Ukweli wa mambo ni kwamba waliojiandikisha kupiga kura wana itikadi zao na kuna mrejesho wa wanachama kwenye upigaji wa kura. Chadema ina wanachama wangapi waliojiandikisha? Je, CCM ina wanachama wangapi waliojiandikisha?
..Magufuli na ccm wamekuwa wanaitumia kamati ya amani ya viongozi wa dini kumshambulia Tundu Lissu na Cdm.
..kwa upande wangu naona ni jambo la kheri kwamba Sheikh Ponda amejitokeza kumpa " tafu " Tundu Lissu.
..tena natamani sasa wajitokeze na Maaskofu nao wajitokeze kumuunga mkono Lissu.