Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

Rejeeni mashirika ya umma kuendeshwa na wachaga na kuajiri wachaga na wakistru.imefika mahali waislam ni wa kuwahesabu.
Alipojaribu Dr Dau na Nssf kuajiri anao wapenda yeye mlimbebesha chuki kuwa kuna uislam umeshika nssf na waislam. huku data za mashirika mengine kama CRDB,TANESCO,Azania bank. na mengineyo mkificha.JPM aliendesha zoezi la vyeti feki malengo ni serikalini lkn kukubwa ni kuona nssf wanapukutishwa sababu ya waislam haaana vyeti,matokeo yake wakaone waishie tu sababu wangeshuka chini zaidi ni nchi ingesimama,wakisrto wengi wameajiliwa kwa kuletwa kwanza.
Kuhusu KISIJU ndio mjue na mjitafakari watapata wapi kazi ?zaidi ya ujasiria mali mdogo mdogo wapate cha kula na sio serikalini wanalipwa na kuiibia serikali ili wawe matajiri kama wewe andrew 123.
 
Waache watu wamtumikie Mungu maana huko ndipo ulipo uzima wa milele.
 
Wamtegemeo Mungu ni kama mlima wa sayuni watatikiswa Ila hawatatikisika.
Wapi nimesema naumia?
Nawe unaamini utajiri inatokana na kuswali swala tano? Unaamini Bakhresa kama tajiri kisa swala tano kwa siku?
 
Sawa ndugu yangu katika imaan. Uwe na Dominika njema!
Hata yesu na wanafunzi wake walivaa kanzu na makobazi

Soma kwenye red,

Ila kama kawaida yenu.

Kwenu dini ni kufatisha viwapendezavyo roho na nafsi zenu na kuacha msivyovipenda hata kama yesu alivifanya na kuviishi.
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
kama mtu hawai kukuomba umsaidie shida ya aina yoyote achana nae
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Wamewahi kuja kukuomba chakula? Au makazi? Au uwasomeshe watoto wao. Acha watu waishi maisha yao.
 
Siku hizi mijadala hii imenitoka, baada ya kuona watu humu huanzisha tu mada ilimradi.

Suala la mleta mada wala halitafsiriki hivyo kama anavyotaka yeye, ila ndio hivyo hawa jamaa tu hupenda ligi zisizo na maana.

Mtu kuswali swala tano hakumuondolei umasikini na wala kutokuswali hakumfanyi mtu kuwa tajiri, na wangapi wanaswali lakini wanauchumi mzuri na wangapi hawaswali lakini wanauchumi mmbovu?

Na kwani kuswali mtu inamchukua masaa mangapi katika siku? mpaka useme wanaswali kuliko kufanya kazi? kwani wanashinda misikitini!?

Na wasichokijua, hata kutafuta rizki katika uislamu ni ibada.
 
Kinachozungumzwa hapa na Mtoa Mada ni suala la Kazi,siyo Udini!.

Sawa!,Tuna swali na kusali lakini siyo sasa nguvu zetu zote tuzihamishie huko tushindwe kufanya kazi!

UPUNGUFU WA AKILI NI HALI YA KUTOTAKA KUAMBIWA UKWELI
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Umesikia wameomba popote chakula cha msaada...!?
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe...
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Oi kuna shida sehemu sio
 
Umeona maskini wakiomba kutoka Kisiju?Mbona kina Matonya wengi na walemavu wengi wanaoomba wanatoka kanda ya kati na kanda ya ziwa?
Umetembelea Rombo ukaona umaskini uliokithiri wa watu kunywa pombe mchana kutwa bila kufanya kazi mpaka wanawake wao kusaidiwa na wakenya?
Ulichokusudia kinajulikana lakini mikoa yenye umaskini wa kutupa Tanzania inajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…