Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

Kama hali yao ya uchumi ni nzuri haina shida!
Lakini kama eneo hilo ni maskini basi dini ni shida!
 
Wewe unaye swali hizo swala tano, umesha fikia hata theluthi ya utajiri wa Bakhressa?

Pamoja na kuswali kwako hayo maswala tano yako?
Kwanza hakuna popote nilipoandika kwamba kuswali swala tano ni sababu ya kuwa tajiri.

Kama ipo nioneshe.

Pili mimi naswali swala 5 na ni tajiri kuliko ukoo wenu wote ukitakata ushahidi na kunijua njoo PM.

Tatu hakuna uhusiano wowote wa swala tano na utajiri na umaskini.

Mwisho jifunze kusoma kwa ufahamu ili uelewe kitu kuanzia mwanzo sio unadandiadandia mada.
 
Kama hali yao ya uchumi ni nzuri haina shida!
Lakini kama eneo hilo ni maskini basi dini ni shida!
Eeeh eeh eeh.

Hii ndiyo kwanza naisoma kwako.

Kwamba dini na kuswali swala 5 ni chanzo cha umaskini wa eneo.

Vipi Saudia ilipoanzia dini ni maskini kuliko Tanzania?

Vipi Bakhresa na Ghalib Said Mohammed wanaoswali swala 5 ni maskini kuliko wewe.
 
Watu wa mkoa wa Pwani ni wa ajabu

Nilipeleka TV kwa fundi aitengeneze,muda wa masikini ukafika fundi akaacha TV yangu akaenda masikini kuswali.

Huku nyuma watoto wakaja ofisi haina mtu wakavunja TV yangu kioo kwa jiwe.

Da nafika kwa fundi baadae nichukue TV yangu ananiambia alienda masikini nyuma huko watoto wamevunja TV.

Nilichukia sana,yaani unaacha mali ya mteja nje alafu unaenda masikini,takataka kabisa
 
Kuna haja ya kuwabatiza waachane na uzombi,maisha yao ni duni hadi wanatia huruma.
 
Kule hakufai kabisa. Pamesahaurika sana. Watu hawaendi shule, badala yake ni Madrasa, akipiga zake Madrasa miaka minne tayari ni msomi wa heshima.
Kinywaji adui kuliko vyote kule ni 'Fanta'[emoji2]. Fanta ina historia yake kule[emoji3]

Ipi hiyo[emoji28][emoji28]
 

[emoji28][emoji28][emoji28]
 

Una uhakika na unayosema,unawajua shia,sunni,ahmadiya etc??
 

Samahani we ni mwanafunzi wa mzee side boy muhamed
 

Uislamu hata kunya,kukojos ni ibada.
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Ziwe shule nyingi kuna watoto wangapi?
We hupendi watu wafanye ibada?
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Wewe endesha maisha yako, huwalishi na wala hawapati ruzuku ya kodi yako kuwasaidia maisha. Ni wewe ndio unaona hawafanyi kazi kwa upofu wako au unadhani wanapataje mahitaji yao ya kila siku?
Inaonesha kuona misikiti kumewasha chuki moyoni mwako.
Fungua macho na akili.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…