Hii itamkomaza zaidi kudai haki za kisiasa na zaidi katiba mpya. Huyu ni mtoto wa ubatizo wa shujaa. Naye ni shujaa anapitia katika tanuru la moto atakwiva na kutuongoza kwenda nchi ya ahadi siyo siku nyingi. Aluta Continua
Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.