MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
- Thread starter
- #41
kwani lastime hawakupanga tarehe? walipanga na wambwiga wenu walivyoona nyomi la wafafadhili wa nnji wapo makamani wakageuzia angani na kisingizio cha kindezi kutoka lumumba eti usafiri hakuna.. mbona waliweza kumtoa mwanza fasta kwa ndege? leo pia wamenusa wakaona wafadhili hawapo ndio wamemleta. wafadhili sio wapumbafff kama viongozi wako na hamuwezi kuwayumbisha mtanasa wenyewe tu kwenye tundu.Kwani tarehe hii ya leo haikupangwa?