KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

Hii itamkomaza zaidi kudai haki za kisiasa na zaidi katiba mpya. Huyu ni mtoto wa ubatizo wa shujaa. Naye ni shujaa anapitia katika tanuru la moto atakwiva na kutuongoza kwenda nchi ya ahadi siyo siku nyingi. Aluta Continua
Yeye anawaongoza huku wewe unaperuzi kimya kimya JF

😁😁😁😁😁
 
Kama nchi tunatakiwa kua makini wote wanaohusika na njama za kuivuruga amani ya nchi yetu (sio kubambikiwa) wawajibishwe kama kweli wanahusika. Tusije tukawa kama Afghanstan.
 
Tanzania tupo wajinga wengi...utakuta jitu linatoa sadaka yote afu linatembea kwa mguu majasho hoi hoi huku mtumishi akitanua maisha ya anasa kwa sadaka.
Mtumishi anateleza na msafara wa mav8 Kama Geor davy wa arusha muumini kakwaruliwa pesa yote hana nauli wala yakula!! Hajiulizi huyu mtumwema kwanini asinunue basi apande na waumini wake kurejea makwao?? Tunakipaji chauzuzu
 
Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali...
Watashindana hawatashinda.
 
Mtumishi anateleza na msafara wa mav8 Kama Geor davy wa arusha muumini kakwaruliwa pesa yote hana nauli wala yakula!! Hajiulizi huyu mtumwema kwanini asinunue basi apande na waumini wake kurejea makwao?? Tunakipaji chauzuzu
Kwa hili la kutungia sheria mpya haya makanisa - sitalipinga maana mengi ni ya wapigaji.
 
serikali yako inaendesha kesi hii kisanii na kwa kuviziavizia.. wameona leo wale wanaofadhili serikali hawaji kusikiliza ndio wamemleta. nnji hii kwa usanii ni hatari sana
Hahaa wanaona aibu. Walioianzisha wanajifanya kama hawapo.
 
Hakuna aliyewahi kupambana na Mbowe akafaulu! Maushungi soon ataaibika na kuvuliwa nguo
Ngoja tujipe Muda. Mbowe hana hatia. Amekuwa msafi miaka yote. Ukimgusa ananuka
 
Gaidi anakua n bastola yenye risasi 3 au sio
 
Nausikia mjadala umepamba moto ndani ya daladala na anatajwa zaidi Mbowe na tsh 600,000/=

Kunani waungwana?

Ni dhamana au fine?

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Mungu mbariki
1629709300227.png
 
Nausikia mjadala umepamba moto ndani ya daladala na anatajwa zaidi Mbowe na tsh 600,000/=

Kunani waungwana?

Ni dhamana au fine?

Mungu ni mwema wakati wote!
Tuombe Mungu iwe ni Faini Aachiwe na kurudi Kumtumikia Mungu na wanadamu
 
Back
Top Bottom