Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Em soma tena jina lako..Mbowe akishinda hii kesi itakuwa ni aibu kubwa sana na anguko kubwa la kisiasa kwa Madam SSH.
Binafsi sina chama na sipendi vurugu za kisiasa lakini naomba sana Mbowe ashinde.
Msiniulize sababu.
Hili ni DUA LA KUKU tangu lini ulisika LINAMPATA MWEWE!?Mama anaupiga mwingi Sana.... Hii nchi Bana, serekasi hazitaishaga mpk CCM imezikwa kaburi la sahau
Unaweza kupora elfu tano lakini huwezi kufadhili UGAIDI kwa elfu tano. Elewa uzito wa jambo katika kutendwa! Sabaya anaweza weka watu chini ya ulinzi na akawasachi na kuchukua mali /pesa.Sabaya mlifurahia alivyopewa kesi ya uporaji wa laki tatu ila Mbowe kufadhili laki sita ila magaidi wakachome vituo vya mafuta ni ajabu.
Tunayo haki ya kusema sema na kuandika andika chochote on this issue lakini uamuzi wa mwisho ni wa Mahakama jamani. Tuwe wavumilivu kwa hili ili tuvuke nalo tukiwa kitu kimoja!Unaweza kupora elfu tano lakini huwezi kufadhili UGAIDI kwa elfu tano. Elewa uzito wa jambo katika kutendwa! Sabaya anaweza weka watu chini ya ulinzi na akawasachi na kuchukua mali /pesa.
Ndiyo maana Serikali imeweka ujanja ujanja kwamba mashtaka ya UHUJUMU UCHUMI yenye UGAIDI ndani yake!
Tunaelewa uamuzi ni wa Mahakama ila haituzii kujadili, kuchokonoa na kuja na nadhalia.Tunayo haki ya kusema sema na kuandika andika chochote on this issue lakini uamuzi wa mwisho ni wa Mahakama jamani. Tuwe wavumilivu kwa hili ili tuvuke nalo tukiwa kitu kimoja!
600,000 Tzs kufadhili ugaidi sio Jambo dogo, kumbe ugaidi sio garamaSafi kabisa. Moyoni mwake anajua ukweli wote juu ya vitendo hivyo vya ugaidi. Mbowe ni mtu hatari sana siyo tu kwa taifa lakini hata kwa Chadema. Polisi waimarishe ulinzi Nguvu ya Chadema imekwisha mahakamani na imekwisha Twitter Republic. Sasa mahakama ifanye kazi yake kwa utulivu na mambo yote yawekwe wazi. Mbowe si malaika.
Elewa nilicho sema! Sijasema "msiandike au msijadili" nilichosema ni kuwa tunaweza "kuandika andika na kusema sema" chochote! Sijazuia watu kusema jamani! Ninyi semeni semeni na adikeni andikeni chochote ILA uamuzi wa mwisho ni wa Mahakama! Huo ni msisitizo tu na hicho ndicho nilicho sema.Tunaelewa uamuzi ni wa Mahakama ila haituzii kujadili, kuchokonoa na kuja na nadhalia.
Asante kwa kunielewa Kayamba Moses. Tuko pamoja.Elewa nilicho sema! Sijasema "msiandike au msijadili" nilichosema ni kuwa tunaweza "kuandika andika na kusema sema" chochote! Sijazuia watu kusema jamani! Ninyi semeni semeni na adikeni andikeni chochote ILA uamuzi wa mwisho ni wa Mahakama! Huo ni msisitizo tu na hicho ndicho nilicho sema.
Eee Mola; mlinde Freeman.Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.
UPDATE: Mashtaka
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wamesomewa maelezo ya mashtaka mbalimbali yanayowakabili ikiwemo la kutaka kudhuru viongozi wa Serikali akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Upande wa mashitaka unasoma mashitaka kwa kusema kuwa; Halfan Bwire Hassan, Adam Hassan Kasekwa, Mohamed Abdallah Ling'wenya na Mhe. Freeman Mbowe wanatuhumiwa;
1. Freeman Mbowe anatuhumiwa kufadhili vitendo vya Ugaidi kwa kutoa shilingi za kitanzania laki sita ( 600,000).
2. Kula njama na kusabisha majeraha kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya
3. Watuhumiwa wote ambapo wanatuhumiwa kushiriki vikao na Kula Njama za kutenda Ugaidi
4. Mshtakiwa wa pili anashitakiwa kumiliki bastola yenye risasi tatu kwa ajili ya kutenda kosa la ugaidi.
5. Mshtakiwa wa tatu anatuhumiwa kumiliki nguo, begi na koti za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWT) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT.)
-
UPDATE: Mashahidi 24 vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake
Mashahidi 24 na vielelezo 19, wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Miongoni mwa mashahidi hao, yupo aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai nchini (DCI), Robert Boaz.
Hayo yameelezwa leo, Agosti 23, 2021 na upande wa mashtaka ukiongozwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Nassoro Katuga akisaidiana na Ester Martin, wakati wakiwasomea maelezo ya mashaidi na vielelezo (Commital Proceedings) washtakiwa hao, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba.
Credit: Mwananchi
Poleni, Nimepiga magoti nikiwaombea ili shetani akiishamalizana nanyi, mtubu na kurudi kwa Mungu. Sisi pia tutawapokea.niwaoga hao acha kabisa lakini ni mashujaa kwenye simu hao hata wakimuona mende wanakimbia
Mbonà hapo Hamna la maana. Ningelikutumia kesi za hivyo ukaona ushahidi unatakiwa uweje kuthibitisha haya mashitakaEee Mola; mlinde Freeman.
Yaani Laki 6 ndiyo inafadhiri mauaji ya Sabaya.Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.