Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.
Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.
mpaka atoke atakuta mama kisha maliza na mchakato wa katiba mpya zamaaaaniHii itamkomaza zaidi kudai haki za kisiasa na zaidi katiba mpya. Huyu ni mtoto wa ubatizo wa shujaa. Naye ni shujaa anapitia katika tanuru la moto atakwiva na kutuongoza kwenda nchi ya ahadi siyo siku nyingi. Aluta Continua
Mbona afghanistani wapo tele hao mabalozi?Mabalozi walikuwepo, ukisema ugaidi wanaweza wakawaondoa wananchi wao kuwa Tanzania si salama kuishi.
Sawa boyagaidi ananyooshwa kwelikweli
yaani huyu katili na gaidi karma inamtafuna kabisaani akili zakoooo au umeazima za kuazima?
niwaoga hao acha kabisa lakini ni mashujaa kwenye simu hao hata wakimuona mende wanakimbia[emoji23][emoji23][emoji23]Andamana mkuu acheni kuonesha hasira zenu kwenye simu
Zungusha mikono, zungusha, zungushaaaa...
Tupe mfano wa walioshindwaHakuna aliyewahi kupambana na Mbowe akafaulu! Maushungi soon ataaibika na kuvuliwa nguo
Zungusha mikono, zungusha, zungushaaaa...
Mabadirikoooooooo.....!!!!!
Lowasaaaaaaaaa!!!!
Mlimuona ni mungu sasa wacha mpate jasho kidogo,ni akili zakoooo au umeazima za kuazima?
Kwani tarehe hii ya leo haikupangwa?serikali yako inaendesha kesi hii kisanii na kwa kuviziavizia.. wameona leo wale wanaofadhili serikali hawaji kusikiliza ndio wamemleta. nnji hii kwa usanii ni hatari sana
We endelea tu kuvaa tu nguo za ndani za kike huku nje ukivaa za kiume.Hujui lolote tulia tu na uendelee kufurahia maisha na huyo mmeo wa ndoa ya jinsia moja
Ukosefu wa akili ni hatari Sana,bora ungekosa zile nguvu maarufu.Zungusha mikono, zungusha, zungushaaaa...
Mabadirikoooooooo.....!!!!!
Lowasaaaaaaaaa!!!!
#MWAMBA TUVUSHE
Safi kabisa. Moyoni mwake anajua ukweli wote juu ya vitendo hivyo vya ugaidi. Mbowe ni mtu hatari sana siyo tu kwa taifa lakini hata kwa Chadema. Polisi waimarishe ulinzi Nguvu ya Chadema imekwisha mahakamani na imekwisha Twitter Republic. Sasa mahakama ifanye kazi yake kwa utulivu na mambo yote yawekwe wazi. Mbowe si malaika.Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.
Hakika !Hakuna aliyewahi kupambana na Mbowe akafaulu! Maushungi soon ataaibika na kuvuliwa nguo