KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

Usiombe ukakumbwa na matatizo kama haya wakati wa uzeeni.
 
yaani hapo alipo ananuka mavi kunyea ndoo siyo kuzuri na ugaidi siyo mzuri
Alafu KWa akili Kama hizi ,mtu ASEME tz Kuna CCM ,utakua kichaa

Mtu kama uyu jaribu kumuuliza , itikadi za kuanzishwa CCM hajui , yeye ,kila ngoma ikipigwa ni kudemka,

CCM tafuta watu ,vijana wenye UWEZO wawasaidie, leo mna watu hata kusimama kwenye majukwaa ,hawawezi, daily tegemea mbeleko
 
The amount of money is not an issue, any amount can aid terorrism , the issue is how do you prove the sum was used for that purpose?
 
Kumbe Tanzania Kufadhili Ugaidi ni Hela Ndogo Tuuu, (Laki Sita) [emoji23][emoji23] Hii Kesi inabidi Wateliban Nao Waje [emoji23][emoji23][emoji23].

Kumbe Utetezi wa Sabaya Una Ukweli? Au Dot zinakuwa Connectes ili Sabaya Aachiwe mwingine Ahukumiwe.

Kumbe ukiwa na Jezi Za Jeshi Ni Ugaidi.

Kumbe Risasi 3 zinatosha kabisa Kufanya Ugaidi Nchi hii.

Yaani Hii Kesi Ina Mambo Mepesi Mepesi kabisaaaaa lakini inaweza kusikilizwa Miaka 3
 
jela inamuhusu huyo na mashahidi kibao mpaka kina dci"? amekwisha huyo
 

AMEN
 
Laki sita inaona ndogo! Wakati sabaya ansumbuliwa kwa laki 30000
 
mtakoma na magaidi yenu mlifikiri hatuwajui mtatajana tu wote mnataka kuua mpaka mkuu wa wilaya? sasa anatoka kuja kutoa ushahidi huku mtakoma
 
Unashangaa nini?,hiyo pesa wanapewa wanywa viroba na ngada wakafanye yao kwenye vituo vya mafuta
 
Siyo kusikilizwa miaka 3 tu BALI pia inaweza kwenda na mtu miaka 30! Hapo ndipo tutakaposhangaa ya Musa wakati hatujaona ya Farao!
 
The amount of money is not an issue, any amount can aid terorrism , the issue is how do you prove the sum was used for that purpose?
Beside you dully need to prove it, beyond reasonable doubt . It hough the Green Light shine for Mbowe justice .[emoji3]
 
kwani ugaidi ulitaka aje na fuso la risasi?
 
Ukweli DDP na Prosecutor wanajichora kweli .... yaani US$ 300 zinatosha kufanya Ugaidi Tanzania .....!!
 
Haya mambo yanashangaza, huku naona ugaidi, upande wa pili nasikia tena uhujumu uchumi, hawa jamaa naona wanaweka mashtaka yasiyo na dhamana ili waendelee kumuweka ndani.

Hii kesi naona imetengenezwa ili kuipoteza ile ya Sabaya, kule Sabaya akihojiwa anasema ana maadui wa kisiasa, hapo Kisutu wanasema Mbowe alimsababishia majeraha Sabaya, hayo majeraha aliyapata lini? wapi? waliripoti polisi? wana RB?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…