Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

Tanzania ina maajabu leo hii kuna mbunge asiyekua na chama huku kuna watu waliapa kuisimamia katiba na kumwomba mwenyezi Mungu awasaidie, Mwenyezi Mungu akiwazingua muanze kusingizia magonjwa 😂
 
HAKI HUINUA TAIFA
TAIFA LIKIINULIWA WATU WAKE HUPATA UTULIVU
Taifa limetulia, hali ni tulivu, hyo ni baada ya yule yona muasisi wa haya yote kutoswa baharini. Bahari sasa imetulia, mambo ni shwari, maisha yanaendelea.
 
Hivi nyie watu, Jiwe kufa juzi tu kila kitu chake mnakitengua siyo. Mungu anawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…