Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020

Tarehe 26/8 kamepeni za Uraisi zitaanza...mawakili angalieni kalenda vzr na ratiba ya UCHAGUZ ili mambo yaende vzr.
 
Kweli uwakili ni kazi za watu hongera peter kibatala kwa kuicheza hii yani mmmejua akienda leo any thing can happen kwaiyo mmeweka kipolo ili hata ukumu ikitoka ionekana mgombea urais ahukumiwa haaa haaa haaa
People with brain
 
Hivi kama umeshindwa kuona umuhimu wa upinzani(hasa CHADEMA) angalau kuanzia 2015 nitakwambia nini uelewe?
We mwenyewe huelewi hata wanefanya nn kwa kuwapigia kelele serikali, endelea kujizungusha zungusha tu.
 
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Tupia hapa cv yako tukuchambue kwanza kama una credibility ya kuwa critic wa Lissu, maana yawezekana ulidisco mwaka wa kwanza halafu unasumbua humu.
 
Ww huelewi kabisa mambo ya mahakama una ushahidi kama alitaka kwenda kuuaga mwili? Kama upo vipi usiupeleke mahakamani? Subiri sheria ifuate mkondo wake
Sina muda wa kipuuzi kuzurula mahakamani brah! Got number of things to accomplish, hao wanasiasa Malofa wajibebe wenyewe.
 
Tupia hapa cv yako tukuchambue kwanza kama una credibility ya kuwa critic wa Lissu, maana yawezekana ulidisco mwaka wa kwanza halafu unasumbua humu.
Mandolo na ID fake una guts za kuomba certifications za mtu humu kweli? Mind your own business brah, hukuchangia elimu yangu, huwezi ondoa haki zangu kikatiba.

Jamaa yako anataka kuomba ridhaa, challenges and critics are inevitable.
 
Umesahau kubweka hivi "Kidumu CCM"
😂

Mtapata taabu sana makada wa Lumumba
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
 
Umesahau kubweka hivi "Kidumu CCM"
😂

Mtapata taabu sana makada wa Lumumba
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
 
% 1 ya IQ ya Lissu= sisiem wote kuanzia mwenyekiti mpaka mfagiaji wa Lumumba.

Huyu jamaa Lissu huwa namchukulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana TZ nikitoka mimi, ilikuwa bado kidogo anikaribie
Safi sn mkuu! Umenifurahisha tuu. Maarifa ni kushirikishana ulicho nacho kwa mwenzako kwa maslahi mapana ya taifa pia.Usiwe mchoyo please.
 
and let the dramas begin................
 
Bado anaugua. Yupo ughaibuni!
Nionacho hapa TAL anajaribu kila awezalo kui-provote system ili imkate naye atikize lengo lake.
 
Mbona alienda Msibani?????????????????
 
% 1 ya IQ ya Lissu= sisiem wote kuanzia mwenyekiti mpaka mfagiaji wa Lumumba.

Huyu jamaa Lissu huwa namchukulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana TZ nikitoka mimi, ilikuwa bado kidogo anikaribie
Tatizo lenu ndio lipo hapo, kutegemea watu kuliko taasisi! Siku Lissu akihama chama kitayumba na mtammwagia mitusi mizito mizito humu
 
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.

Wewe ndio empty head ndio maana unadhani mambo ya kisheria yanakwenda kama kucheza tokomile!
Mlidhani Lissu kwa vile kaja basi atababaika na kesi zenu za kubumba hivyo atakuwa Kisutu SAA 12 asubuhi?
Mind you, huyo ni Rais wa nchi hii miezi mitatu ijayo hivyo hata system inalijua hilo na wanapaswa kumtendea kiheshima kabisa kwani unadhani hapo December hao watumishi walio ofisi ya DPP na Mahakama watakuona wewe Ndombwindo au utakuwa umejificha kwenu Nanjilinji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…