Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

Wewe kenge hujui kitu zaidi ya chuki tu
 
Kipindi cha Samia tunaona watu wanatekwa na kuuwawa...

Kama kweli nia yenu ni njema!

Mbona sijawahi kuona nyuzi za kumtuhumu yeye moja kwa moja?

Au Kibao, Soka na wenzake wapo sehemu hawajafa?
Kwa vile siyo yeye Samia anayewateka kama ilivyokuwa kwa Magufuli.
 
Kwa vile kitabu hicho itakuwa ngumu kuuzika kwa uwazi hapa Tanzania, na kukinunua Amazon bado asilimia kubwa ya Watanzania hawaelewi basi Kabendera aki release Free online katika PDF ili Watanzania wawe na uelewa wa viongozi wao na wasiwakubali ki mihemko hemko.
Atakuwa kalisaidia sana Taifa
 
 

Attachments

  • 2574448-4465ebe2627ce1b1ebcb925b7e7e8e4d.mp4
    3.7 MB
Familia ilisema haitamjibu mtu yoyote muda ndo utajibu
Na ni bora wanyamaze tuu waendelee kula maisha yao kwa kodi za Watanzania. Hata mke wa Hitler Eva Braun angeulizwa kuhusu mumewe angesema ni mtu mwema.
Mtu akifika nafasi ya juu kama Rais aachwe asemewe na wananchi sio familia maana familia haiwezi kutamka kwenye makosa yake na pia itakuwa inanunua ugomvi wake ikimsifu.
 
Kipara kipya akili ya Zamani...trash 🗑️
 
Kichwa cha habari anauliza, content hamna mahali kauliza..
Why mnapenda kumlisha rais maneno?
Hisia zenu binafsi keep it to yourselves
 
Heri ya Mwaka mpya ndugu,muda sijakusiki
 
Kabendera anacheza na hasira zetu watanzania za kuondokewa na Rais kipenzi cha wengi, shujaa na mwamba wa Africa

Ajitathimini haraka
 
........Mzee Kibao muda taongea pia...labda Yeye yumo kitabu kijacho cha .....TL ? Muda utasema yoote damu ya mtu nzito haitaenda bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…