Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa

kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo

vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao

kazi kwenu wapendwa...
Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
 
Kwa wakristo wanarithii mkuu bnafsi nilijua hawarithi chochte lakin nkakutana na judgement moja wamepewa kiasi kadhaa cha baba yao

Kwa waislam ndio wanaita haramu....else baba aandike mwenyewe kabla ajafa hii n mali ya mwanangu xxx
Wenu mwendazake
wakiristo nikama wanyama tu hawajitambui
 
Hapa wazazi wenu wakifa ndio kwanza mnakimbilia kuwa wasimamizi sio mbaya n mali za wazazi wenu
Ila uwezikwepa mali za urithi kama zipo tengeneza zako utunze na urithi wa wazazi wako
 
Andika wosia, urithi unatakiwa ugawanywe kulingana na utashi wa mwenye mali sio kwa maelekezo ya vitabu vya karne ya saba.
umeongea bila uelewa mkuu.unapichukia kitu bas jaribu ku research ujue kinasemaje! umerefer karne ya saba umeeleweka umelenga uislam ila nikikuuliza unajua mtoto wa nje anastahik kupata vipi sehem ya mal ya ababa yake unajua mkuu? bas turesarch kidogo japo chuki haifutiki.
kwneye islam mtoto wa nje ya ndoa akifa baba yake harithi.anachotakiwa baba huyu akiwa hai amtunze mtoto amsomeshe na ampe kabisa kitu miingon mwa vitu as long as akiwa hai. i stand to be correction. and god knows best
 
Kweli kabisa mkuuu
Nilikuwa nawapigania madogoo flan wameshinda kesi karibuni nkapata uelewa mkubwa wa kujua yaliyoko kwenye mirathi hasa watoto wa nje....

Waisalm mkizaa nje mkumbuke mapema kuwaandikia watoto wenu tena kisheria else mkifa hata sabuni ya bafuni hawarithii hii mkae mkijieleewa kabisa

Msikimbilie kuzaa nje kama hamjui sheria za kuwalinda watoto wenu msijeongeza watotoo wa mraan huku mmeachaa magaorofa
 
Andika wosia, urithi unatakiwa ugawanywe kulingana na utashi wa mwenye mali sio kwa maelekezo ya vitabu vya karne ya saba.
Watanzania wengi wanahisi wakiandika wosia ni sawa na kujitia mkosi wa kifo. Ndio maana issue hizi zinakuwa common

Hapo hakuna mbadala zaidi ya kuacha wosia au kuhakikisha watoto wa nje wanajulikana na familia yako haswa kaka au dada wa ukoo ambao wengi ndio husimamia mirathi au haki za wenye kudhulumiwa

Ukishindwa yote hayo, hakikisha unatafuta mali za hao watoto zenye majina yao ambazo familia kuu hazitohusika nazo. Ila ukifariki na ukategemea njia zingine lazma moto uwake
 
Back
Top Bottom